Hivi ni kwa nini mama yake Lulu ana dharau kwa waandishi wa habari?

Emok Jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2018
Posts
1,094
Reaction score
800
Niende moja kwa moja kwenye mada leo tar 06/07/2018 mida hii ya 23:19 nacheki shilawadu ambao wanaendelea kutujuza kwenye updates kuhusiana na msiba wa mtoto patrick wa munalove.


Kitu kilichonistaajabisha ni mama yake lulu kuto kumjibu kwisa yani ana dharua za kiwango cha sgr sijawahi ona na make up ile mh!

Pia hata wale wadada wengine wana dharau au ndo wanamuogopa mama lulu?

Pia mama lulu amewahi mjibu mwandishi wa habari wa wasafi tv kauli mbaya !!

Wale mlioangalia leo shilawadu nazani mtanielewa zaidi picha sina
 
Picha huna Sasa ya nn utuletee
Chai bila sukar
 
acha kutulisha matango pori leo n 6 July
 

Wewe una uhakika kuwa huna Dharau?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…