King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Yaani sura haieleweki rangi gani,kijivu si kijivu,njano si njano yaani ipo kati ya kijivu na njano iliyojimix.Aisee nimecheka. Mwisho unaonekana kama umeungua
Wewe ni senge kabisa, yani shilawadu ni waandishi wa habari!?Niende moja kwa moja kwenye mada leo tar 06/07/2018 mida hii ya 23:19 nacheki shilawadu ambao wanaendelea kutujuza kwenye updates kuhusiana na msiba wa mtoto patrick wa munalove.
Kitu kilichonistaajabisha ni mama yake lulu kuto kumjibu kwisa yani ana dharua za kiwango cha sgr sijawahi ona na make up ile mh!
Pia hata wale wadada wengine wana dharau au ndo wanamuogopa mama lulu?
Pia mama lulu amewahi mjibu mwandishi wa habari wa wasafi tv kauli mbaya !!
Wale mlioangalia leo shilawadu nazani mtanielewa zaidi picha sina
hahahaha daa nimecheka sana yani jf raha tupu.....hata mimi nimeshangazwa kusikia shilawadu ni waandishi wa habari.Wewe ni senge kabisa, yani shilawadu ni waandishi wa habari!?
Haha.Mama Lulu pamoja na uzee wote lakini anaendelea kujichubua na mkorogo umedunda.
Tukimpa Magufuli miaka 20 tu itatosha kunyoosha nchi mpaka mipumbavu yote akili ziwarudie.hahahaha daa nimecheka sana yani jf raha tupu.....hata mimi nimeshangazwa kusikia shilawadu ni waandishi wa habari.
Halafu nimemuonea huruma Lulu, daahh!kwa hili la misiba miwili!Muacheni mama wa watu apumzike amehangaika sana, waambie wakatafute habari kwingine.
Acha tu, majanga juu ya majanga.Halafu nimemuonea huruma Lulu, daahh!kwa hili la misiba miwili!
Yaani as if yeye ndo kimbelembele daah!sidhani km ataenda leaders!!Acha tu, majanga juu ya majanga.
Hata mimi natamani kumuona Leaders ila sidhani kama ataenda si unajua tena walimwengu ooh kakonda ooh kafifia, augulie tu nyumbani.Yaani as if yeye ndo kimbelembele daah!sidhani km ataenda leaders!!
Muna bwana!!nimeumiaa