Hivi ni kwa nini mama yake Lulu ana dharau kwa waandishi wa habari?

Hivi ni kwa nini mama yake Lulu ana dharau kwa waandishi wa habari?

Niende moja kwa moja kwenye mada leo tar 06/07/2018 mida hii ya 23:19 nacheki shilawadu ambao wanaendelea kutujuza kwenye updates kuhusiana na msiba wa mtoto patrick wa munalove.


Kitu kilichonistaajabisha ni mama yake lulu kuto kumjibu kwisa yani ana dharua za kiwango cha sgr sijawahi ona na make up ile mh!

Pia hata wale wadada wengine wana dharau au ndo wanamuogopa mama lulu?

Pia mama lulu amewahi mjibu mwandishi wa habari wa wasafi tv kauli mbaya !!

Wale mlioangalia leo shilawadu nazani mtanielewa zaidi picha sina
Wewe ni senge kabisa, yani shilawadu ni waandishi wa habari!?
 
Kwanini unakubali kustaajabishwa na mambo yasio kuhusu? We ni wa kike?
 
Wewe ni senge kabisa, yani shilawadu ni waandishi wa habari!?
hahahaha daa nimecheka sana yani jf raha tupu.....hata mimi nimeshangazwa kusikia shilawadu ni waandishi wa habari.
 
Sasa kutomjibu mtu ni dharau... ukimya ni jibu la mjinga
 
alikuwa anakaa Tabata chumba kimoja..sasa mtoto wake anadanga kwa akili kwa nini asiwe na dharau ni kama yule mama wa final say
 
Muacheni mama wa watu apumzike amehangaika sana, waambie wakatafute habari kwingine.
 
Ajibu ili iweje nawewe...hayamuhusu ndio maana hakutaka tia neno...mama lulu alikosea sana yani mimi ningemkata kibao...kukosa adabu na maisha ya watu ni upuuzi mkubwa sana
 
Nimechungulia gender yako mleta mada nimekuta ni "male"!!
 
Yaani as if yeye ndo kimbelembele daah!sidhani km ataenda leaders!!

Muna bwana!!nimeumiaa
Hata mimi natamani kumuona Leaders ila sidhani kama ataenda si unajua tena walimwengu ooh kakonda ooh kafifia, augulie tu nyumbani.
 
Back
Top Bottom