Mkuu biashara ya kwanza ya utumwa ilianza middle east tena wao hawakuwa ma faida yoyoteUSA, EU waliwauza mababu zetu na kuwatumikisha katika mashamba ya miwa huko Ulaya, wanalipa fadhila. Islamic country hawakufanyq hivyo kwa mababu zetu
Wewe mtu mweusi unawaza kusaidiwa tu, fanya kazi kima wewe...
Hata hao wazungu hawatoi msaada ni mikopo ambayo ilimkimbiza nyerere kwenye uraisi na kuanza kampeni ya kutaka nchi zote zinazodaiwa zikatae kulipa...
Na mpaka aliwahi kusema, wanakupa mkopo nafuu, halafu ili kutekeleza miradi lazima uajiri makampuni yao na uwalipe kwa hizihizo hela za mkopo, ni mtego tu....
China pia hatoi misaada, anakopesha...
Nchi iliyokuwa inatoa misaada moja kwa moja ilikuwa ni Japan, kwa sasa imechoka kusaidi nyani zilizochangamka.
Hata waarabu wanatoa mikopo na misaada kidogo....
KSA lends Tanzania SR 56 m for water project
KSA lends Tanzania SR 56 m for water projectwww.arabnews.com Tanzania projects funding from Kuwait
Funding has been secured from Kuwait for a series of major infrastructure projects in Tanzania. One of the main projects will be for a series of road upgrades in the city of Dodoma. Another project will be for improvements to the 257km road connecting Morogoro with Dodoma. The US$207.3 million...www.globalhighways.com
Nadhani Wanasaidia hapa na pale... Tatizo hawako transparent na hawana checks and balances. Misaada yao mingi inaishia mifukoni!Labda nilipitwa lakini sijawahi kusikia hata siku moja wakichangia bajeti kama msaada kwa tanzagiza, ila nasikia USA au EU wakitishia kukata msaada kusaidia bajeti kwa nini oil rich gulf states huwa hazizibi pengo ukichukulia ni marafiki wazuri wa regime iliyopo? huwa nasikia wakitoa fedha kwa mambo mengine lkn sijawahi kuwasikia wakichangia bajeti ya tanzagiza kama vile EU au hata USA, sijawahi kusikia wakitoa fedha kuchangia wizara ya afya labda kununua dawa za hiv, malaria, au hata kifua kikuu?
Au labda huwa wanafanya na nimepitwa mahali? kwa maana tanzagiza wakisaema wadau wa kimaendelao wanaamanisha EU, USA au Japan na Korea (kusini) lkn siyo oil rich gulf states,, sasa ni kwa nini? lkn najua kwamba wanachukuwa mengi (sana tu) ktk tanzagiza ....
Vice versa is true!USA, EU waliwauza mababu zetu na kuwatumikisha katika mashamba ya miwa huko Ulaya, wanalipa fadhila. Islamic country hawakufanyq hivyo kwa mababu zetu
1. Bajeti yetu haitegemei tena Misaada sasa hivi chini ya asilimia 5 ndio Misaada.Labda nilipitwa lakini sijawahi kusikia hata siku moja wakichangia bajeti kama msaada kwa tanzagiza, ila nasikia USA au EU wakitishia kukata msaada kusaidia bajeti kwa nini oil rich gulf states huwa hazizibi pengo ukichukulia ni marafiki wazuri wa regime iliyopo? huwa nasikia wakitoa fedha kwa mambo mengine lkn sijawahi kuwasikia wakichangia bajeti ya tanzagiza kama vile EU au hata USA, sijawahi kusikia wakitoa fedha kuchangia wizara ya afya labda kununua dawa za hiv, malaria, au hata kifua kikuu?
Au labda huwa wanafanya na nimepitwa mahali? kwa maana tanzagiza wakisaema wadau wa kimaendelao wanaamanisha EU, USA au Japan na Korea (kusini) lkn siyo oil rich gulf states,, sasa ni kwa nini? lkn najua kwamba wanachukuwa mengi (sana tu) ktk tanzagiza ....
Unadanganya mchana kweupe leta ushahidi wa ulichoandika, tushatoka huko siku nyingi tuthats not the point, >30% ya budget ya tanzagiza ni foreign funded na hiyo ni fact, sasa kwa nini hiyo 30% haitolewi na “rafiki zenu” oil rich gulf states? kwa maana wanaotoa wanawatishia kila siku na ninyi ni wababe? kwa nini msiipotezee tu hiyo 30% and let your arabs foot the bill? …
Umeona nchi gani ya kiislam waliomba msamaha kwa biashara ya utumwa Africa? Ulaya na kanisa hujasikia kuomba msamaha?Vice versa is true!
Nyerere alizikataa pesa za waarabu,kwa kuhofia ushawishi wa mwarabu(uislam) Tanzania,kuna balozi wa tz mzanzibar alimwambia GCC Wana hela nyingi tu watatusukuma tusogee,akakataa, sababu hiyo ndiyo sababu kanisa haliitaki DP world,ubalozi wa misri ulitoa msaada wa dawa,hatukuzifuata mpaka ubalozi ukaenda media ndiyo tukazifuataLabda nilipitwa lakini sijawahi kusikia hata siku moja wakichangia bajeti kama msaada kwa tanzagiza, ila nasikia USA au EU wakitishia kukata msaada kusaidia bajeti kwa nini oil rich gulf states huwa hazizibi pengo ukichukulia ni marafiki wazuri wa regime iliyopo? huwa nasikia wakitoa fedha kwa mambo mengine lkn sijawahi kuwasikia wakichangia bajeti ya tanzagiza kama vile EU au hata USA, sijawahi kusikia wakitoa fedha kuchangia wizara ya afya labda kununua dawa za hiv, malaria, au hata kifua kikuu?
Au labda huwa wanafanya na nimepitwa mahali? kwa maana tanzagiza wakisaema wadau wa kimaendelao wanaamanisha EU, USA au Japan na Korea (kusini) lkn siyo oil rich gulf states,, sasa ni kwa nini? lkn najua kwamba wanachukuwa mengi (sana tu) ktk tanzagiza ....
Watumwa waliotoka afrika kwenda ulaya na marekani ni zaidi ya 40m, waliotoka afrika mashariki kwenda arabuni ni laki naneUmeona nchi gani ya kiislam waliomba msamaha kwa biashara ya utumwa Africa? Ulaya na kanisa hujasikia kuomba msamaha?
History ya kanisa hio umefundishwaWatumwa waliotoka afrika kwenda ulaya na marekani ni zaidi ya 40m, waliotoka afrika mashariki kwenda arabuni ni laki nane
Kuomba msamaha baada ya kuwatosa watu baharini kisa revolt kwenye melikebu au ugonjwa haisaidii chochote,waliacha biashara ya utumwa baada ya kupata mbadala..mashine
Malkia Elizabeth hakuomba msamaha