tucpende kuchukulia mambo kimzaha ujui anayetamka ana malengo gani moyoni mwake mbali na ww kuona ni mzaha akitamka futa palepale kwa damu ya yesu umpena onyo me mwanangu akiniuzi sana na nikakasirika tuc la kwanza kichwa kama changu, mwone sura kama yangu hasira inaisha atalia badae marafiki mpaka ss ukimwangalia kafanana na mm kweli kweli mpaka raha ujue mdomo unaumba kwelikweli