Mfano kutengeneza madirisha na milango kwa million 5 versus million 3.5 unasema vyote bei chini?Vyote ni bei chini hivyo
Wewe ni kichwa maji ujui jamaa kaongea point ya msingi kuliko zote bei ya mbao imepandishwa na wahuni ili kuuza nje ya nchi wahuni wamechukua tenda na kudhibiti mbao toka mapolini ili kuuza magogo nje ya nchi"Wasingekuwa" kina nani hao!?
Ukileta Siasa katika mambo ya msingi kama haya ambayo yanapaswa kujadiliwa kwa hoja nitakuona mngese wa kiwango cha SGR. Otherwise ungeweka hili bandiko lako katika jukwaa la Siasa kuna baadhi ya watu tungepita kimya.
Umemaliza kudanga!? Chukua Bajaj njoo hapa Sinza Vatican.Wewe ni kichwa maji ujui jamaa kaongea point ya msingi kuliko zote bei ya mbao imepandishwa na wahuni ili kuuza nje ya nchi wahuni wamechukua tenda na kudhibiti mbao toka mapolini ili kuuza magogo nje ya nchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushawahi kuona wooden floor?Ishu si ku afford tu, hivi kuna mtu anaweka TNG badala ya Gypsum kama cieling kwa sasa?
Ni wangapi leo hii wanaweka madirisha ya mbao nondo na wavu wakaacha kuweka grills za chuma na alluminium & glass ama PVC windows!
Na saingine gharama huwa juu kuliko hata mbao ambayo ni style ya kizamani.
Waambie kua mbao ni kitu asili. Wanaogopa bei wanaanza kusema zimepitwa na wakati ili wajifariji.Mbao haiwezi kushuka thamani hata siku moja, mbao inazidi kupanda thamani kila siku. Pamoja na ujio wa steel, aluminium, iron bars na pvc bado mbao inabaki na ubora ule ule na thamani yake haiwezi kushuka.
Tatizo ni ongezeko la binadamu duniani na mahitaji yake. Just imagine mlango wa mninga kwa baadhi ya maeneo Dar, frame 250,000/-, top 450,000/- jumla 700,000/- while mlango wa aluminium ni 250,000/- hadi 300,000/-.
Binafsi ningekuwa na uwezo wala nisingefikiria kuweka pvc/aluminium windows and doors, hazina ubora wa mbao hata kidogo.
Hajaona huyo nipo site ngoja nimtumie floor na madirisha hayajaisha ila ataelewa.Ushawahi kuona wooden floor?
Hebu picha ya hilo dirisha kwa njeHajaona huyo nipo site ngoja nimtumie floor na madirisha hayajaisha ila ataelewa.
Poa ngoja kidogo nimetoka nikirudi nakupigia.Hebu picha ya hilo dirisha kwa nje
Hizo hapo mkuu.Hebu picha ya hilo dirisha kwa nje
Yeah nshaziona mkuu ila sio kibongobongo!Ushawahi kuona wooden floor?
Mi nina meza ya visiki vya kahawa alikuja rafiki yangu akaipenda, nikamuuliza una pesa nikupe?Tatizo GHARAMA MKUU,,mbao zina bei Kali sana ,,NA ZINADUMU MIAKA,lakini,,ukiwa na MILIONI 1 tu,,unajaza chumba kizima STEEL FURNITURES, kitanda chuma,,kabati LA vyombo chuma,,LA nguo,,meza ya kulia chuma,,,na SOOBWOOFER JUU ,,unapata vyote kwa M 1.. wakati kabati LA mninga unapata MOJA tu, ,au MEZA YA CHAKULA,,au KITANDA na GODORO,,mbao ndy kila kitu MKUU.,Mambo ya vitu vya chuma NAOGOPA TETENAS...
Sent using Jamii Forums mobile app