Hivi ni kwamba bidhaa za mbao hazina thamani tena siku hizi?

Hivi ni kwamba bidhaa za mbao hazina thamani tena siku hizi?

Mbao haiwezi kushuka thamani hata siku moja, mbao inazidi kupanda thamani kila siku. Pamoja na ujio wa steel, aluminium, iron bars na pvc bado mbao inabaki na ubora ule ule na thamani yake haiwezi kushuka.

Tatizo ni ongezeko la binadamu duniani na mahitaji yake. Just imagine mlango wa mninga kwa baadhi ya maeneo Dar, frame 250,000/-, top 450,000/- jumla 700,000/- while mlango wa aluminium ni 250,000/- hadi 300,000/-.

Binafsi ningekuwa na uwezo wala nisingefikiria kuweka pvc/aluminium windows and doors, hazina ubora wa mbao hata kidogo.
 
nadhani hujui ulichoandika. BIDHAA ZAMBAO HAZINA THAMANI????????????????????? Kweli? yaani utalinganisha kitanda cha mbao mninga/mkongo na cha chuma? you cant be serious. maybe hujaingia katika maisha. mbao thamani yake ni kubwa sana hata ukiangalia tu thamani ya mkaa ilivyopanda gunia moja la mkaa uliza ni tsh ngap huku mjini.ni afadhali gesi mtungi wa 30kgs.

unadhani watu kwa nini hawaweki madirisha ya mbao? au hawaweki floor za mbao no more... gharama yake ni kubwa kuliko aluminium au tiles. haya mambo waulize watengeneza milango ya mbao yenye quality na hii ya aluminium watakwambia.
 
Balaa nyingine watu wa Mbao wamejitakia wenyewe. Unaenda kwa mafundi kununua kitanda cha mbao unakuta vitanda vizuri sana vya mbao lakini havina chaga! Unatakiwa utoe hela zako kwanza wakutengenezee chaga uje kuchukua kitanda chako kesho. Kwenye maduka ya samani za vyuma unakuta kitanda kinauzwa kimekamilika, si ajabu na godoro lake! Unatoa hela, unabeba mzigo wako unasepa!! Hakuna cha njoo kesho wala nini!![emoji34][emoji34][emoji34]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Wasingekuwa" kina nani hao!?
Ukileta Siasa katika mambo ya msingi kama haya ambayo yanapaswa kujadiliwa kwa hoja nitakuona mngese wa kiwango cha SGR. Otherwise ungeweka hili bandiko lako katika jukwaa la Siasa kuna baadhi ya watu tungepita kimya.
Wewe ni kichwa maji ujui jamaa kaongea point ya msingi kuliko zote bei ya mbao imepandishwa na wahuni ili kuuza nje ya nchi wahuni wamechukua tenda na kudhibiti mbao toka mapolini ili kuuza magogo nje ya nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni kichwa maji ujui jamaa kaongea point ya msingi kuliko zote bei ya mbao imepandishwa na wahuni ili kuuza nje ya nchi wahuni wamechukua tenda na kudhibiti mbao toka mapolini ili kuuza magogo nje ya nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
Umemaliza kudanga!? Chukua Bajaj njoo hapa Sinza Vatican.
 
Ishu si ku afford tu, hivi kuna mtu anaweka TNG badala ya Gypsum kama cieling kwa sasa?

Ni wangapi leo hii wanaweka madirisha ya mbao nondo na wavu wakaacha kuweka grills za chuma na alluminium & glass ama PVC windows!

Na saingine gharama huwa juu kuliko hata mbao ambayo ni style ya kizamani.
Ushawahi kuona wooden floor?
 
Mbao haiwezi kushuka thamani hata siku moja, mbao inazidi kupanda thamani kila siku. Pamoja na ujio wa steel, aluminium, iron bars na pvc bado mbao inabaki na ubora ule ule na thamani yake haiwezi kushuka.

Tatizo ni ongezeko la binadamu duniani na mahitaji yake. Just imagine mlango wa mninga kwa baadhi ya maeneo Dar, frame 250,000/-, top 450,000/- jumla 700,000/- while mlango wa aluminium ni 250,000/- hadi 300,000/-.

Binafsi ningekuwa na uwezo wala nisingefikiria kuweka pvc/aluminium windows and doors, hazina ubora wa mbao hata kidogo.
Waambie kua mbao ni kitu asili. Wanaogopa bei wanaanza kusema zimepitwa na wakati ili wajifariji.
 
Attachments

  • 1535634011705874755548.jpg
    1535634011705874755548.jpg
    271.1 KB · Views: 85
  • 1535634054858328406412.jpg
    1535634054858328406412.jpg
    154.2 KB · Views: 90
  • 15356341553611074820755.jpg
    15356341553611074820755.jpg
    185 KB · Views: 100
  • 15356342230761986122951.jpg
    15356342230761986122951.jpg
    128.6 KB · Views: 92
vibali vingi na kupelekea samani za mbao kuuzwa bei kubwa hivyo watu tunakimbilia kwa mchina hata kama kifaa tutakaa nacho miezi 2 tu mpaka kuharibika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo bei madirisha ya mbao au ceiling board ya mbao znapendeza sana kuliko hivyo vngine shida bei na ubunifu
 
Yani ww unaringanisha thamanu ya mbao na chuma duh hii kweli tatizo by the way watanzania tunapenda sana cheap thats why tunakipa thamani chuma ili tu kuiridhisha mioyo yetu

Inshort hivyo vyuma vimeletwa ili tu kusaidia kupunguza gharama kwa watumiaji katu usije ringanisha thamani ya mbao na hivyo vyuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo GHARAMA MKUU,,mbao zina bei Kali sana ,,NA ZINADUMU MIAKA,lakini,,ukiwa na MILIONI 1 tu,,unajaza chumba kizima STEEL FURNITURES, kitanda chuma,,kabati LA vyombo chuma,,LA nguo,,meza ya kulia chuma,,,na SOOBWOOFER JUU ,,unapata vyote kwa M 1.. wakati kabati LA mninga unapata MOJA tu, ,au MEZA YA CHAKULA,,au KITANDA na GODORO,,mbao ndy kila kitu MKUU.,Mambo ya vitu vya chuma NAOGOPA TETENAS...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🙄😳😀

Mi nina meza ya visiki vya kahawa alikuja rafiki yangu akaipenda, nikamuuliza una pesa nikupe?
Jibu alilonipa karibia nimpige ban.
 
Back
Top Bottom