Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Aah! Zile fenicha bandarini ni mbao au?nadhani hujui ulichoandika. BIDHAA ZAMBAO HAZINA THAMANI????????????????????? Kweli? yaani utalinganisha kitanda cha mbao mninga/mkongo na cha chuma? you cant be serious. maybe hujaingia katika maisha. mbao thamani yake ni kubwa sana hata ukiangalia tu thamani ya mkaa ilivyopanda gunia moja la mkaa uliza ni tsh ngap huku mjini.ni afadhali gesi mtungi wa 30kgs.
unadhani watu kwa nini hawaweki madirisha ya mbao? au hawaweki floor za mbao no more... gharama yake ni kubwa kuliko aluminium au tiles. haya mambo waulize watengeneza milango ya mbao yenye quality na hii ya aluminium watakwambia.
Hilo kabati la kichina utadumu nalo miaka mingapi? Tena kama ndio mtu wa kuhama nyumba kila baada ya miezi sita isitegemee litakaa hata miaka mitatu.Vitu vya mbao ni ghali sana. Ukiwa na 250000 unapata kabati simple la kichina kwenye mbao sasa ni shida.
Wengi hatujali hilo mkuuHilo kabati la kichina utadumu nalo miaka mingapi? Tena kama ndio mtu wa kuhama nyumba kila baada ya miezi sita isitegemee litakaa hata miaka mitatu.
Sahivi ni steel, aluminium, glass na fibre materials ndio zinatrend bila kusahau pvc. Hayo ma mbao ni old school na very expensive
nadhani hujui ulichoandika. BIDHAA ZAMBAO HAZINA THAMANI????????????????????? Kweli? yaani utalinganisha kitanda cha mbao mninga/mkongo na cha chuma? you cant be serious. maybe hujaingia katika maisha. mbao thamani yake ni kubwa sana hata ukiangalia tu thamani ya mkaa ilivyopanda gunia moja la mkaa uliza ni tsh ngap huku mjini.ni afadhali gesi mtungi wa 30kgs.
unadhani watu kwa nini hawaweki madirisha ya mbao? au hawaweki floor za mbao no more... gharama yake ni kubwa kuliko aluminium au tiles. haya mambo waulize watengeneza milango ya mbao yenye quality na hii ya aluminium watakwambia.
matusi tena mr ya nini? nimesema sisi watumiaji wa ndani wa mazao ya misitu hatuwezi kumaliza msitu uliopo nyakati hizi. ila kwa sababu walikuwepo watu waliokua wakipeleka magogo nje basi miti ingeisha mapema ndio ilikua maana yangyu mkuu."Wasingekuwa" kina nani hao!?
Ukileta Siasa katika mambo ya msingi kama haya ambayo yanapaswa kujadiliwa kwa hoja nitakuona mngese wa kiwango cha SGR. Otherwise ungeweka hili bandiko lako katika jukwaa la Siasa kuna baadhi ya watu tungepita kimya.
pole sana, ni aina ya mbao tu haikua rafiki na mazingira yenu ndio maana ilishambuliwa na mchwaNakumbuka nilikuwa nakitanda changu cha mbao,nikapata safari ikanibidi nirudishe vyombo nyumbani na kutudisha chumba nilichopanga,vyombo vyangu vikawekwa stoo.
Sasa baada ya kurudi safari nitakatafuta room nikapata sasa kimbembe kikawa kufungua stoo nakuta kitanda kimegeuka makazi ya mchwa,nikakichukuwa kibishi bishi.
Ebwana usiambiwe sikia tu kwa watu mchwa ni kama panya wakisikia wageni ndiyo wanaanza kula mbao sauti Yao inakera mbaya
Usipate demu mpya geto kosa wanaanza kusumbua ili mradi tu kero
na ambayo pia ni imara mkuuIshu si ku afford tu, hivi kuna mtu anaweka TNG badala ya Gypsum kama cieling kwa sasa?
Ni wangapi leo hii wanaweka madirisha ya mbao nondo na wavu wakaacha kuweka grills za chuma na alluminium & glass ama PVC windows!
Na saingine gharama huwa juu kuliko hata mbao ambayo ni style ya kizamani.
nakushushukuru mkuu kwa kuliona hilo, lakini huko vijijini kunakotoka mbao garama yake ni chini mno! ila serikali ndio ilaleta ugumu.Mbao haiwezi kushuka thamani hata siku moja, mbao inazidi kupanda thamani kila siku. Pamoja na ujio wa steel, aluminium, iron bars na pvc bado mbao inabaki na ubora ule ule na thamani yake haiwezi kushuka.
Tatizo ni ongezeko la binadamu duniani na mahitaji yake. Just imagine mlango wa mninga kwa baadhi ya maeneo Dar, frame 250,000/-, top 450,000/- jumla 700,000/- while mlango wa aluminium ni 250,000/- hadi 300,000/-.
Binafsi ningekuwa na uwezo wala nisingefikiria kuweka pvc/aluminium windows and doors, hazina ubora wa mbao hata kidogo.
sio hazina thamani laa! bali hazithaminiki tena na wateje siku hizi japo zina ubora wa hali ya juu kuliko chuma alunium plastic nknadhani hujui ulichoandika. BIDHAA ZAMBAO HAZINA THAMANI????????????????????? Kweli? yaani utalinganisha kitanda cha mbao mninga/mkongo na cha chuma? you cant be serious. maybe hujaingia katika maisha. mbao thamani yake ni kubwa sana hata ukiangalia tu thamani ya mkaa ilivyopanda gunia moja la mkaa uliza ni tsh ngap huku mjini.ni afadhali gesi mtungi wa 30kgs.
unadhani watu kwa nini hawaweki madirisha ya mbao? au hawaweki floor za mbao no more... gharama yake ni kubwa kuliko aluminium au tiles. haya mambo waulize watengeneza milango ya mbao yenye quality na hii ya aluminium watakwambia.
hilo kweli mkuu kosa hilo tumelifanya sana lakini sio kwa sasa au kwa wengi wetu.Balaa nyingine watu wa Mbao wamejitakia wenyewe. Unaenda kwa mafundi kununua kitanda cha mbao unakuta vitanda vizuri sana vya mbao lakini havina chaga! Unatakiwa utoe hela zako kwanza wakutengenezee chaga uje kuchukua kitanda chako kesho. Kwenye maduka ya samani za vyuma unakuta kitanda kinauzwa kimekamilika, si ajabu na godoro lake! Unatoa hela, unabeba mzigo wako unasepa!! Hakuna cha njoo kesho wala nini!![emoji34][emoji34][emoji34]
Sent using Jamii Forums mobile app
asante sana mr ndio ilikua maana yangu haswa.Wewe ni kichwa maji ujui jamaa kaongea point ya msingi kuliko zote bei ya mbao imepandishwa na wahuni ili kuuza nje ya nchi wahuni wamechukua tenda na kudhibiti mbao toka mapolini ili kuuza magogo nje ya nchi
Sent using Jamii Forums mobile app
bidhaa inapokua na wateja wengi inakua na ushindani na kwa hivyo bei itashuka mkuu.Mkuu unajua thamani ya samani za mbao kama mninga?dirisha la mbao ya mninga lililokuwa designed vizuri utaweza kununua?
Sent using Jamii Forums mobile app