Mbao haiwezi kushuka thamani hata siku moja, mbao inazidi kupanda thamani kila siku. Pamoja na ujio wa steel, aluminium, iron bars na pvc bado mbao inabaki na ubora ule ule na thamani yake haiwezi kushuka.
Tatizo ni ongezeko la binadamu duniani na mahitaji yake. Just imagine mlango wa mninga kwa baadhi ya maeneo Dar, frame 250,000/-, top 450,000/- jumla 700,000/- while mlango wa aluminium ni 250,000/- hadi 300,000/-.
Binafsi ningekuwa na uwezo wala nisingefikiria kuweka pvc/aluminium windows and doors, hazina ubora wa mbao hata kidogo.