The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,412
- 20,685
Siyo kwenye mbao mkuu, mbao haipungui...kuanzia shambani hilo unatakiwa kujuabidhaa inapokua na wateja wengi inakua na ushindani na kwa hivyo bei itashuka mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app