sometimesyes
JF-Expert Member
- Dec 5, 2017
- 360
- 288
Sijawahi ona polisi mwenye roho nzuri.
Nilipatwa na matatizo nikaripoti polisi, yaani kwanza najutia muda wangu niloupoteza kuwapa taarifa.
Siwapendi basi tu.
Hawa jamaa hawana customer care kbs,ukifika kwny counter zao utafokewa na kutolewa maneno ya kejeli,wanachukua maisha ya depo na uraiani ni sawa,hawatambui kuwa uraiani unatakiwa kutoa huduma.
Duuuhtwende mbele turudi nyuma
angekuwa mama yako ungemkamata ?
Polis ata wakifa uwa nafurahi sina ni mashetani
Kwa nini asikamatwe wakati kanunua mali ya wizi na yeye mwizitwende mbele turudi nyuma
angekuwa mama yako ungemkamata ?