sometimesyes
JF-Expert Member
- Dec 5, 2017
- 360
- 288
Hawa jamaa hawana customer care kbs,ukifika kwny counter zao utafokewa na kutolewa maneno ya kejeli,wanachukua maisha ya depo na uraiani ni sawa,hawatambui kuwa uraiani unatakiwa kutoa huduma.
Sijawahi ona polisi mwenye roho nzuri.
Nilipatwa na matatizo nikaripoti polisi, yaani kwanza najutia muda wangu niloupoteza kuwapa taarifa.
Siwapendi basi tu.