Hivi ni kwanini CCM hawajazi nafasi iliyoachwa wazi na Kinana?

Hivi ni kwanini CCM hawajazi nafasi iliyoachwa wazi na Kinana?

Kimsingi makamu mwenyekiti hana kazi ikiwa mwenyekiti yupo...

Ndio sababu huoni kilichopungua...
 
Kila mtu kaona huyu mama ni michosho tu.

By the way wanaccm wengi wanajua kuwa 2025 hana chake, hivyo wanajinasibisha na mtu wanayemuandaa kuwa rais 2025.
 
Hivi ni kawaida kwamba miezi mitatu sasa imepita tangu ajiuzulu lakini hawajaweka mrithi wake shida Iko wapi?!?
Wanatafuta mstaafu mwingine wamwombe awasaidie. Hawa huwa hawazalishi viongozi damu changa wao wanategemea wahamiaji kutoka chadema
 
Ni expensive. Bila mkutano mkuu huwezi kuchagua makamu mwenyekiti
 
Back
Top Bottom