Hivi ni kwanini CCM hawajazi nafasi iliyoachwa wazi na Kinana?

Kimsingi makamu mwenyekiti hana kazi ikiwa mwenyekiti yupo...

Ndio sababu huoni kilichopungua...
 
Kila mtu kaona huyu mama ni michosho tu.

By the way wanaccm wengi wanajua kuwa 2025 hana chake, hivyo wanajinasibisha na mtu wanayemuandaa kuwa rais 2025.
 
Kinana hakujiuzulu, alipigwa chini pamoja na vijana wake akina Nape na January .... hilo la kujiuzulu ilikuwa ni kutuliza hali ya hewa.
Sawa lakini si aliepigwa chini ingekuwa rahisi sana kupata mrithi?
 
Hivi ni kawaida kwamba miezi mitatu sasa imepita tangu ajiuzulu lakini hawajaweka mrithi wake shida Iko wapi?!?
Wanatafuta mstaafu mwingine wamwombe awasaidie. Hawa huwa hawazalishi viongozi damu changa wao wanategemea wahamiaji kutoka chadema
 
Ni expensive. Bila mkutano mkuu huwezi kuchagua makamu mwenyekiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…