Hivi ni kwanini Jemedari anaongelea sana issues za Yanga

canfi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,368
Reaction score
1,477
Kama kuna mtu anajua kilichopo nyuma ya pazia basi atujuze. Huyu mchambuzi amekuwa anaongea sana pale kunapotokea sintofahamu kwenye timu ya Yanga. Lkn mtu huyu amekuwa kimya kwa baadhi ya issues zenye sintofahamu pale Simba.

Mfano ni ukimya wake kwenye issue ya Manzoki kualikwa kwenye uchaguzi wa Simba akiwa ni mchezaji wa timu nyingine. Jambo hili lingefanywa na Yanga angetokwa povu wiki nzima. Aliwahi kunyamazia faulo mbaya aliyocheza Inonga kwa Sureboy lkn akaja juu sana faulo ya Morrison kwenye mechi ya Azam. Yanga wanapaswa kukosolewa pale wanapokosea. Lkn wengine je?

Naomba kujua kama jamaa ana sababu binafsi za ku-behave the way he does. Naona kama nchi inapoteza vijana wazuri

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
... Mfano ni ukimya wake kwenye issue ya Manzoki kualikwa kwenye uchaguzi wa Simba akiwa ni mchezaji wa timu nyingine. Jambo hili lingefanywa na Yanga angetokwa povu wiki nzima.
Manzoki kuitembelea Simba sio ishu ya kujadili, ni kama vile Aziz Ki alivyoitembelea ASEC, utajadili nini sasa? Hili la Yanga na SportPesa kuna mambo mengi ya kuyaangalia maana halihusu mtu mmoja mmoja (Manzoki au Aziz Ki) bali linahusu klabu yenye wapenzi na wanachama nchini kote ambao wangependa kujua kinachofanywa na uongozi wao kwa niaba yao
 
Aziz Ki alishiriki mkutano?

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Alishiriki mazoezi. Kwa hiyo kumbe shida imebadilika, sio kuitembelea klabu, ila kushiriki mkutano? Hivi kumbe aliruhusiwa kupiga kura? Mkuu wa Mkoa naye alipiga kura? Kwa nini alienda kushiriki wakati kuna machinga wamerudi barabarani?
Logic umeielewa. Ngoja wengine wachangie

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Alishiriki mazoezi. Kwa hiyo kumbe shida imebadilika, sio kuitembelea klabu, ila kushiriki mkutano? Hivi kumbe aliruhusiwa kupiga kura? Mkuu wa Mkoa naye alipiga kura? Kwa nini alienda kushiriki wakati kuna machinga wamerudi barabarani?
Ibenge alikuwepo kwenye mkutano na hawaliongelei kabisa, wanakomaa na manzoki
 
Jamaa anaipenda Yanga na aliwahi kugombea nafasi ya uongozi ila akachujwa mapema na wajumbe tangu siku hiyo akawa anaiongelea vibaya Yanga. Jamaa ni mtu wa majungu sana aliwahi sababishia Oscar Oscar kusimamishwa kazi enzi wakiwa Azam fc
 
Aziz ki alihutubia katika mkutano wa ASEC?
 
Alishiriki mazoezi. Kwa hiyo kumbe shida imebadilika, sio kuitembelea klabu, ila kushiriki mkutano? Hivi kumbe aliruhusiwa kupiga kura? Mkuu wa Mkoa naye alipiga kura? Kwa nini alienda kushiriki wakati kuna machinga wamerudi barabarani?
Kaka achana na mashabiki wa yanga kule wenye akili ni wawili tu.hiyo chura haiwezi kukuelewa
 
Jamaa anaipenda Yanga na aliwahi kugombea nafasi ya uongozi ila akachujwa mapema na wajumbe tangu siku hiyo akawa anaiongelea vibaya Yanga. Jamaa ni mtu wa majungu sana aliwahi sababishia Oscar Oscar kusimamishwa kazi enzi wakiwa Azam fc
Sasa nimejua

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…