Hivi ni kwanini Jemedari anaongelea sana issues za Yanga

unaeza kua mjini toka miaka ya 70 ..kama haupo kwenye mfumo huna utakachojua
Uyo babu aliye mleta Jemedari mjini haijui mifumo na ana zaidi ya miaka 35 kwenye mpira, Sasa Jemedari anajua Nini?
Kwasasa Jemedari anapuuzwa na Yanga kwakua hajafikia kuwa na madhara Kwa Yanga, wamemchukulia kama mtu anaye piga kelele.
Kuna mstari wa kimaslahi aki uvuka atarudishwa kijijini akashughulike na Korosho.
 
Wewe ndio mjinga na jemedari Kama anajua Mambo ya mikataba mbona hawashauri Simba wamwambie Mo atoe pesa za udhamini na mabango yake kwenye jezi?.
Sijui umeandika wadudu gani hapa[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Uyo babu aliye mleta Jemedari mjini haijui mifumo na ana zaidi ya miaka 35 kwenye mpira, Sasa Jemedari anajua Nini?
Kwasasa Jemedari anapuuzwa na Yanga kwakua hajafikia kuwa na madhara Kwa Yanga, wamemchukulia kama mtu anaye piga kelele.
Kuna mstari wa kimaslahi aki uvuka atarudishwa kijijini akashughulike na Korosho.
Ujinga ni ujinga tu, wacha utetezi wako wa kijinga, kila siku mnaambiwa, na msipobadilika mtaendelea kuwa wajinga.
 
Wajinga na ma Mbumbumbu ni wale walio mchagua Mangungu Kwa kuwaletea Manzoki kwenye Mkutano wa Uchaguzi.
 
jemedari said kazumari mtipa (the voice of the voiceless) ..wasichojua watu wa utopolo waliowengi ..huyu ni mwenzenu kabisa mwanachama kindaki ndaki wa gongowazi..mtu anaeijua yanga nje ndani na kashatumika kwenye mavugu vugu mengi yaliyowai kutokea yanga na kufukuzisha viongozi..jemedari ni sauti ya ant gsm ndani ya yanga na hawa wapo wengi sana..piteni pale magomeni tawi kubwa kbsa la yanga kwa wazee angu kina magoma mtazipata nyingi tu ,..na hili ni suala la muda tu walio chini ya maji nao watajitokeza sasa hivi wengi wameamua wakae kimya.
moja ya hoja zao kubwa ni yanga ssaiv inaongozwa na mamluki wengi kutoka nje wasoijua yanga,watu wa yanga wenyewe wametupwa kule..mzee msola kaondoka na mengi moyoni.huyu jemedari alikua kampeni meneja wa msola.
Hapaaa nakubaliii.
 
Hersi na Manara ni watoto wa mjini Sasa wamesha mfanyia umafya wa kutosha, Kwaiyo jamaa Kila akipata nafasi kwenye kipaza sauti yeye anatema Nyongo.

Manara uwa wanajibishana ila Hersi kwakua ashajua Jemedari ni mchimba chumvi uwa anampotezea hajawahi kumjibu.
Ahaa

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Mshitaki TFF afungiwe kuongelea Yanga pekee kwani anakukera kutoongelea ya Simba.

Mambo mengine ya kijinga sana. Yaani mtu ale ugali sana kushinda wali halafu uanze kutuuliza sisi kwanini anakula sana na sio wali. Hii nchi hii sijui inakwama wapi
Sawa nimekuelewa

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Uyo babu aliye mleta Jemedari mjini haijui mifumo na ana zaidi ya miaka 35 kwenye mpira, Sasa Jemedari anajua Nini?
Kwasasa Jemedari anapuuzwa na Yanga kwakua hajafikia kuwa na madhara Kwa Yanga, wamemchukulia kama mtu anaye piga kelele.
Kuna mstari wa kimaslahi aki uvuka atarudishwa kijijini akashughulike na Korosho.
Unaongea usichokijua hata kidogo ..unawajua walio nyuma ya jemedari wewe,Basi nikuambie hao ndo yanga asili ,hao kina hersi wakuja tu hao watoto wajuzi.unaijua yanga asili wewe,unawajua gongo wazi vizuri..
 
Kusema Jemadari anaijua Yanga nje ndani hapo hapana. Hata Simba aliyochezea anaijua Kwa asilimia ndogo Sana. Yeye ana mahali pa kisemea yaani mgongo wa uchambuzi. Kaamua kuside na mapaungufu ya Yanga pekee ili apate sapoti ya wanasimba. Mashabiki wengi wa Tanzania wako kama wanasiasa, Baya haliwezi kuwa la timu yake. Shabiki wa Yanga Yuko tayari kuanzisha na kukomalia ubishi Mshery ni Bora kuliko Kakolanya na wa Simba akaanzisha na kukomalia Kibu Denis ni Bora kuliko Mayele na akapata sapoti ya watu wake.
Simba ya wapi aliyowahi kucheza huyo mtu?unajichanganya mwamba....huyu aliishia huko Kariakoo Lindi......Aliyecheza Simba ni Amri Said(Stam)
 
Kusema Jemadari anaijua Yanga nje ndani hapo hapana. Hata Simba aliyochezea anaijua Kwa asilimia ndogo Sana. Yeye ana mahali pa kisemea yaani mgongo wa uchambuzi. Kaamua kuside na mapaungufu ya Yanga pekee ili apate sapoti ya wanasimba. Mashabiki wengi wa Tanzania wako kama wanasiasa, Baya haliwezi kuwa la timu yake. Shabiki wa Yanga Yuko tayari kuanzisha na kukomalia ubishi Mshery ni Bora kuliko Kakolanya na wa Simba akaanzisha na kukomalia Kibu Denis ni Bora kuliko Mayele na akapata sapoti ya watu wake.
unaakili sana hongera nina Imani huwezi kuwa utopolo utakuwa mnyama mkali unalosema ni kweli kabisa simba anaisema ila kwa yanga hatari
 
Unaongea usichokijua hata kidogo ..unawajua walio nyuma ya jemedari wewe,Basi nikuambie hao ndo yanga asili ,hao kina hersi wakuja tu hao watoto wajuzi.unaijua yanga asili wewe,unawajua gongo wazi vizuri..
Hayo Yanga asili walikimbiliaga wapi kipindi Yanga inatembezq bakuli? Wao wakionaga udhamini tu ndo wanaibukaga
 
Uyo babu aliye mleta Jemedari mjini haijui mifumo na ana zaidi ya miaka 35 kwenye mpira, Sasa Jemedari anajua Nini?
Kwasasa Jemedari anapuuzwa na Yanga kwakua hajafikia kuwa na madhara Kwa Yanga, wamemchukulia kama mtu anaye piga kelele.
Kuna mstari wa kimaslahi aki uvuka atarudishwa kijijini akashughulike na Korosho.
unabishana upumbavu tu huna unachokijua kuhusu mpira wa daslamu,..na humfahamu bwana kipara wewe.,ni mfia yanga kuliko wewe unaopiga kelele humu.
 
Alishiriki mazoezi. Kwa hiyo kumbe shida imebadilika, sio kuitembelea klabu, ila kushiriki mkutano? Hivi kumbe aliruhusiwa kupiga kura? Mkuu wa Mkoa naye alipiga kura? Kwa nini alienda kushiriki wakati kuna machinga wamerudi barabarani?
khaa unaongea nini ndugu, Azizik aliwahi kua mchezaji wa Asec aliecheza kwa mafanikio so pale ni kama amerudi nyumbani kwake, Manzok na Simba wana uhusiano gani?
 
Lakini mkumbuke bwana kuzumari aliwahi kucheza yanga pengine anaifahamu kushinda hata mashabiki na wakeretwa wengine
 
Lini amewahi kuichezea yanga? Embu nifahamishe
 
Jemedari kaja mjini mwaka 2000 Sasa iyo Yanga anaijulia wapi zaidi ya kusikia stori za vijiweni?
Comment yako ya juu umemuita mtoto wa mjini halafu hapa unatwambia kaja mjini 2000 huyu mpalilia mikorosho anakuaje mtoto wa mjini?
 
NI KWA SABABU HAONGELEI SANA ZA MANCHESTER.DAWA YAKE NI WEWE KUONGELEA ZA KWAKE KAMA AMBAVYO UNAMUONGELEA KATIKA KUMPANGIA CHA KUZUNGUMZIA.
 
Back
Top Bottom