redio
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 5,813
- 12,921
Uyo babu aliye mleta Jemedari mjini haijui mifumo na ana zaidi ya miaka 35 kwenye mpira, Sasa Jemedari anajua Nini?unaeza kua mjini toka miaka ya 70 ..kama haupo kwenye mfumo huna utakachojua
Kwasasa Jemedari anapuuzwa na Yanga kwakua hajafikia kuwa na madhara Kwa Yanga, wamemchukulia kama mtu anaye piga kelele.
Kuna mstari wa kimaslahi aki uvuka atarudishwa kijijini akashughulike na Korosho.