vipi kuhusu miunga?Mkuu nineweka kama swali, sijasema direct kuwa fulan karoga au karogwa.
Wanajipoteza wenyewe wala sio tatizo jini ,jini(mond)anajituma sana mpk watanzania mnamsema anajipendekeza na hajar anapiga kazi tuu,sasa mtu atoe wimbo mkari halafu akae muda mrefu unategemea nini kama si kupotezwa,juhudi na maarifa pekee ndivyo vitakavyowatoa hao wasanii uliowataja hapo juu na si lolote lile
Hivi hawa walioimba na Kiba wapo wapi.
Alawi junior
OMMY Dimpoz
Iquo junior
Hakim 5
Lolilo
Baucha (kelele kelele)
Chid Benz (Hasira za nini,far away)
Queen Dalin
Baby j
KIBAKA ATAKUWA MCHAWI KINOMANOMA,YOOOOOOOOOO
We jamaa unahangaikaga sana. Maana unaacha kumsupport msanii wako kutwa diamond mdomoni mwako. Wewe unaonekana unampenda sana mondi yan ukilala unamuota. Haiwezekan m2 huyo huyo daily unamuongelea.
Kwahyo diamond ndo aliwatuma chidi n hawa kutumia unga?
Diamond ndiye kiungo huko sony anayezuia nyimbo za davido?
Hlf bracket mbna hawa kumshirikisha diamond peke yake kuna Tiwa Savage pia.
Kwel ni 1/4
mbona alikiba anapotea ilihali hajashirikiana na daimondi kimuziki?
Hakika sijatoka nje ya Mada, nakuonesha jinsi gani unavyo taka kuupotosha umma kwa kujenga hoja ambazo hazina mashiko... POLE SANA
mkuu mbona ulianza vizur tu na kila mtu anajua mshabiki wa kiba kwa mifano ya hzi thread zako sasa kwa chibu unafata nin? bakia huko huko tu au story za kiba zimeisha sasa?
Utabiri wangu, Hawa ndiyo washindi wa MtvMama Awards 2016
Ali Kiba ahujumiwa tuzo za Afrimma. siri yafichuka
Mpigie kura Alikiba hapa katika tuzo za MTVEMA
Video is Out: Baraka the Prince X Alikiba - Nisamehe
Maajabu 10 ya "Aje" ya Alikiba na miujiza yake
Alikiba kuilaani rasmi bongo flava September
vipi kuhusu miunga?
Ongezea na wa kuitwa Papaa Masai. (mr Ng'ari ng'ari)Hivi hawa walioimba na Kiba wapo wapi.
Alawi junior
OMMY Dimpoz
Iquo junior
Hakim 5
Lolilo
Baucha (kelele kelele)
Chid Benz (Hasira za nini,far away)
Queen Dalin
Baby j
KIBAKA ATAKUWA MCHAWI KINOMANOMA,YOOOOOOOOOO
Sepa uko....huna lolote na akili pia hunaMkuu
Mkuu nahis utakuwa hujalewa content ya thread hii, au unaweza kufungulia thread mpya hizo hoja zako tutakuja kuchangia.
Unaona huo mgando??Mkuu acha mawazo mgando, focus kwenye hoja iliyopo mezani.