Hivi ni kwanini kila msanii anayefanya Collabo na Diamond hupotea kwenye game mazima?

Hivi ni kwanini kila msanii anayefanya Collabo na Diamond hupotea kwenye game mazima?

Wanajipoteza wenyewe wala sio tatizo jini ,jini(mond)anajituma sana mpk watanzania mnamsema anajipendekeza na hajar anapiga kazi tuu,sasa mtu atoe wimbo mkari halafu akae muda mrefu unategemea nini kama si kupotezwa,juhudi na maarifa pekee ndivyo vitakavyowatoa hao wasanii uliowataja hapo juu na si lolote lile
 
Hivi hawa walioimba na Kiba wapo wapi.
Alawi junior
OMMY Dimpoz
Iquo junior
Hakim 5
Lolilo
Baucha (kelele kelele)
Chid Benz (Hasira za nini,far away)
Queen Dalin
Baby j
KIBAKA ATAKUWA MCHAWI KINOMANOMA,YOOOOOOOOOO
 
Hoja nzur mkuu, nimeipenda
 
Hivi hawa walioimba na Kiba wapo wapi.
Alawi junior
OMMY Dimpoz
Iquo junior
Hakim 5
Lolilo
Baucha (kelele kelele)
Chid Benz (Hasira za nini,far away)
Queen Dalin
Baby j
KIBAKA ATAKUWA MCHAWI KINOMANOMA,YOOOOOOOOOO

Mkuu nahis utakuwa hujalewa content ya thread hii, au unaweza kufungulia thread mpya hizo hoja zako tutakuja kuchangia.
 
We jamaa unahangaikaga sana. Maana unaacha kumsupport msanii wako kutwa diamond mdomoni mwako. Wewe unaonekana unampenda sana mondi yan ukilala unamuota. Haiwezekan m2 huyo huyo daily unamuongelea.

Kwahyo diamond ndo aliwatuma chidi n hawa kutumia unga?

Diamond ndiye kiungo huko sony anayezuia nyimbo za davido?

Hlf bracket mbna hawa kumshirikisha diamond peke yake kuna Tiwa Savage pia.
Kwel ni 1/4

Mkuu acha mawazo mgando, focus kwenye hoja iliyopo mezani.
 
mbona alikiba anapotea ilihali hajashirikiana na daimondi kimuziki?

Mkuu kiba anahusikaje hapa? By the way yani msanii pekee kutokea East Africa anayewania tuzo kubwa za Mtv Europe Music awards, leo hii bila aibu unasema anapotea? Are you serious?
 
Hivi hawa walioimba na Kiba wapo wapi.
Alawi junior
OMMY Dimpoz
Iquo junior
Hakim 5
Lolilo
Baucha (kelele kelele)
Chid Benz (Hasira za nini,far away)
Queen Dalin
Baby j
KIBAKA ATAKUWA MCHAWI KINOMANOMA,YOOOOOOOOOO
Ongezea na wa kuitwa Papaa Masai. (mr Ng'ari ng'ari)
 
mmmh ivi kumbe Harmonize kapotea?

Hawa si aliimba wimbo mmoja au kuna nyingine?

Chege nae atapotea eeh?

au mpaka wanawake anaotembea nao wanapotea?maana Sepenga sasa kapoteza.

ivi huyu Linah si ndo vile vile tangu zamani?

Chid si madawa ya kulevya??na mbona aliimba na Mr Blue??

pia aliimba na Mrisho Mpoto kuhusu mabomu.
 
Najua wapo wengi watakaouona huu uzi wataingiwa na woga...hata Prof Jay simuelewi baada ya hii ngoma ya kazi....kazi singeli
 
Mbona bado wanawika kama kawaida wengi humo, tatizo haujui kuwa wewe pia unasaidia kumpaisha Diamond Platnumz.

Atakupa tuzo la mshabiki anayemuwaza 24/7.
 
Back
Top Bottom