Hivi ni kwanini kila msanii anayefanya Collabo na Diamond hupotea kwenye game mazima?



Hujui jamaa ni kigagula???
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji780] [emoji780]
 
we jamaa nyuzi zako huwa zinaniacha hoi!Zama hizi unatoa ngoma 1 kwa mwaka
 
ujue unajitahidi kumkosoa mpinzani kwa nguvu zote huku ukimwacha unayemshabikia afanyi chochote kukuonyesha kwamba yupo pamoja na wewe inauma sana....pole sana kijana ali kiba hana kitu kichwani juu ya mziki,kashafeli kitambo kwa diamond wewe hata uwe unaandika makala kila siku ali kiba hatotoka kamwe kwa diamond.....sasa hizi aanze kushindana na harmonize na hata huyo naye kashampiku maana tayari ana tuzo ya maana kuliko huyu kijogoli wako..........
 
Kweli Mondi ni mti wenye matunda, haishi kupigwa mawe
 
Alikiba anajua mziki, na sauti yake very impressive, shida yake kubwa ni marketing, Diamond hawezi mfikia Kiba hasa mashairi na melody, kinachomsaidia ni ujanja ujanja tu na marketing mf aliona opportunity ya tradition song ambayo ingemboost kwenye tuzo za kimataifa but akashindwa kuimba Wa kwake akaparamia Wa saida, hvyo hvyo kwenye make me sing kuna copy and paste kibao......kwa sasa diamond almost anachoimba ni zero kabisa bt ni muoteaji mzuri Wa commercial
 
1. Hawa
Tutajie hizo nyimbo alizohit nazo hawa kabla ya kupotezwa na mond
2.Chid benz
Huyu alikuwa mkali na aliimba na wengi akiwemo kiba na mond kabla ya kuja kupotea miaka ya 2013
3. Davido
Mkataba wake na sony umembana na kumfanya asubilie mpaka sony walipokuwa tayari kutoa ngoma , amewasubili Sony kwa karibia mwaka kitu kilichokuwa tofauti na alipokuwa nje ya Sony
4. Iyanya
Iyanya kaimba na mond kipindi ndo anaishia na wa TZ tumemfahamu mwishoni kupitia mond
8. na 15
Harmo bado ndo ngoma iliyomtambulisha zaidi afrika Ndiyo video yake iliyotazamwa na watu wengi zaidi ndani na nje ya afrika
Rayvanny hii ngoma Salome ndo imembusti subilia matokeo baada ya mwaka
11.na 14
muziki gani ndiyo nyimbo iliyompa hela nyingi na kumfungulia njia nyingi za kibiashara anasema ney mwenyewe
shetta anapata sapoti kubwa kutoka kwa chibu na connection

12. na 13
P square walikuwa na ugomvi, wamerudi pamoja kwenye kidogo waliposhirikishwa na mond na ya kwao ni hii bank alert ambayo inafanya vizuri kaangalie viwers YouTube
Neyo hajawahi kuwa mtu wa karibu na kiba zaidi kukutania coke studio na kiba na management yake walipolala,kama kawaida yao , Sallam yeye alikuwa anaweka mipango ya kumuunganisha
mond
KAMA HUJUI ULIZA UJIBIWE SIO DHAMBI
 
tatizo ni wewe mtoa post ni team alikiba kama Mimi, naombeni watu muoverlook uteam wa mtoa Mada ili mpate wasaa wa kuchangia,je alichosema Kina make sense (achana kwamba yeye ni team kiba)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…