mkuu mbona ulianza vizur tu na kila mtu anajua mshabiki wa kiba kwa mifano ya hzi thread zako sasa kwa chibu unafata nin? bakia huko huko tu au story za kiba zimeisha sasa?
Kupotea kwa hao hakumaanishi Mwisho wa Muziki amepotoea Mtu mzima R.Kelly itakua hao ,kikubwa wao ndio wameishiwa wakati Baba kijacho ndo kwanza kumekucha