Hivi ni kwanini kila msanii anayefanya Collabo na Diamond hupotea kwenye game mazima?

Hivi ni kwanini kila msanii anayefanya Collabo na Diamond hupotea kwenye game mazima?

Mkuu umenichekesha kweli ulipomuwekea thread zake has a hiyo ya mwisho imenifanya niangue kicheko japo hata sijaifungua.
 
Kupotea kwa hao hakumaanishi Mwisho wa Muziki amepotoea Mtu mzima R.Kelly itakua hao ,kikubwa wao ndio wameishiwa wakati Baba kijacho ndo kwanza kumekucha
 
Back
Top Bottom