Hivi ni kwanini mabinti wanapenda sana wanaume waliosoma UDSM?

Nimekaa nimetafakari hapa,nikaona ebu ngoja niwaulize wana MMU!

Hivi ni kwanini wanawake wanapenda sana wanaume waliosoma UDSM?

Maana hali ndo ilivyo jamaa wa vyuo vingine wanachezea vibuti mpaka aibu yani.

Msomi wetu kwa Akili yako huwezifikia GPA 2.0, hujui psychology ya wanawake, udsm.??? Na mademu wakileo wapi na wapi??
 
Nimekaa nimetafakari hapa,nikaona ebu ngoja niwaulize wana MMU!

Hivi ni kwanini wanawake wanapenda sana wanaume waliosoma UDSM?

Maana hali ndo ilivyo jamaa wa vyuo vingine wanachezea vibuti mpaka aibu yani.
Uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…