Mgoroko
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 769
- 446
Wanawake huwa wanawapenda wanaume dhaifu na washamba ambao wanaweza kuwapelekesha wanavyo taka wao,sasa ud wanafunzi wao wengi ni wale wakuda ambao walikuwa kina john kisomo toka enzi hizo wao bata hawajui,hawajawahi kudate na wanawake tofauti tofauti,wao ni shule na wao,sasa watu kama hawa wakiingia uraiani wanakuwa na elimu kubwa,kazi nzuri,mshahara mzuri but washamba,kwahiyo lazima wanawake wawapende sababu wanauhakika wa kuwashika pembe,kwahiyo usidhani labda mnapendwa sababu ure so special sababu ni hiyo nyinyi ni rahisi kuchunwa na kushikwa pembe kirahisi sababu ni washamba.