farajakwangu
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,942
- 699
We si yohana!!!Uwe mpiga debe as long as una hela.....wajinga hamjanielewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We si yohana!!!Uwe mpiga debe as long as una hela.....wajinga hamjanielewa
Udsm ndo wapi huko?
Nimekaa nimetafakari hapa,nikaona ebu ngoja niwaulize wana MMU!Maana hali ndo ilivyo..jamaa wa vyuo vingine wanachezea vibuti mpaka aibu yani.

Nielekeze ntarudiKuuliza jero, kuelekeza buku
Nimekaa nimetafakari hapa,nikaona ebu ngoja niwaulize wana MMU!Maana hali ndo ilivyo..jamaa wa vyuo vingine wanachezea vibuti mpaka aibu yani.
Pembeni kidogo na jimbo la shilole?Tabora ndanindani huko..
Maskini sijui nani huyo kakuingiza chaka namna hii.......
sio kweli mkuu...mabint wanapenda watu wenye mikono mepesi kweny m.pesa,tigo pesa, atm machines n.k
Pembeni kidogo na jimbo la shilole?