Ni swali la ajabu sana,ila sio la kijinga.Kwa mtizamo huu,unaweza basi ku-question kwa nini Embe liwe na rangi ya njano,Nanasi njano nk. nk.The answer is simple.Miili yetu ni matokeo ya building blocks ambazo ni aina mbali mbali ya virutubishi vinavyopatikana kwenye vyakula tunavyokula ikiwa ni pamoja na maziwa.Kila ya hivi vyakula inatoa aina fulani ya building block au kirutubishi au virutubishi which determines its colour.Kwa mfano Carrot inatoa Carotene,ambayo ni njano.This determines the colour of Carrot etc.Maziwa pia ni meupe kwa sababu ya virutubishi ambavyo yanatoa,hasa Casein, na Fat.Casein na Fat zina reflect a wide range of light wavelengths which makes milk appear white. Maziwa pia yana Protene,,minerals kama Calcium,Phosphorus,Sugars na Vitamins. Hata hivyo vitamins ziko katika kiwango kidogo kwa kuwa mwili unahitaji kidogo.