Hivi ni kwanini maziwa hayana rangi nyekundu?

Kwani kuna ulazima gani yawe na rangi nyeupe, kwanini hayana rangi nyekundu, blue, au walau hata kijani?
Ni swali la ajabu sana,ila sio la kijinga.Kwa mtizamo huu,unaweza basi ku-question kwa nini Embe liwe na rangi ya njano,Nanasi njano nk. nk.The answer is simple.Miili yetu ni matokeo ya building blocks ambazo ni aina mbali mbali ya virutubishi vinavyopatikana kwenye vyakula tunavyokula ikiwa ni pamoja na maziwa.Kila ya hivi vyakula inatoa aina fulani ya building block au kirutubishi au virutubishi which determines its colour.Kwa mfano Carrot inatoa Carotene,ambayo ni njano.This determines the colour of Carrot etc.Maziwa pia ni meupe kwa sababu ya virutubishi ambavyo yanatoa,hasa Casein, na Fat.Casein na Fat zina reflect a wide range of light wavelengths which makes milk appear white. Maziwa pia yana Protene,,minerals kama Calcium,Phosphorus,Sugars na Vitamins. Hata hivyo vitamins ziko katika kiwango kidogo kwa kuwa mwili unahitaji kidogo.
 
source yako plz?...wahindi wanaamini mungu wao kupitia ng'ombe so maziwa ni kitu cha imani sana kwao huwa wanaamini yana uwezo wa kuwatakasa madhambi yao so hawaamini katika upatikanaji uliosemea!..

Hindus use milk and its products for religious purposes because it is believed to have purifying qualities. Ghee is clarified butter. It is used in lamps for rituals. Milk is used to bathe Hindu idols on special occasions. Sweets made from milk or ghee are used as offerings to gods. It goes with so much of Hindu life. It is included in rituals from an infant's first food to the last rituals after death.
 
Mkuu umechoshwa na mambo ya Tanzania kwa kweli,sawa ni kwa sababu maziwa yana yanatumiwa na watekaji sana
 
Ni swali la ajabu sana,ila sio la kijinga.Kwa mtizamo huu,unaweza basi ku-question kwa nini Embe liwe na rangi ya njano,Nanasi njano nk. nk.The answer is simple.Miili yetu ni matokeo ya building blocks ambazo ni aina mbali mbali ya virutubishi vinavyopatikana kwenye vyakula tunavyokula ikiwa ni pamoja na maziwa.Kila ya hivi vyakula inatoa aina fulani ya building block au kirutubishi au virutubishi which determines its colour.Kwa mfano Carrot inatoa Carotene,ambayo ni njano.This determines the colour of Carrot etc.Maziwa pia ni meupe kwa sababu ya virutubishi ambavyo yanatoa,hasa Casein, na Fat.Casein na Fat zina reflect a wide range of light wavelengths which makes milk appear white. Maziwa pia yana Protene,,minerals kama Calcium,Phosphorus,Sugars na Vitamins. Hata hivyo vitamins ziko katika kiwango kidogo kwa kuwa mwili unahitaji kidogo.
Ahsante sana!
 
Ni utafiti wa kisayansi ambao haujatoa majibu kama ng'ombe kula majani na akatoa maziwa
 
Nadhani majani huwa yanameng'enywa too its building blocks, then maziwa yanaundwa kwa virutubisho husika toka kwenye damu
 
Back
Top Bottom