Hivi ni kwanini Mo dewji katambulishwa badala ya mwenyekiti wa Simba sc Mangungu?

Hivi ni kwanini Mo dewji katambulishwa badala ya mwenyekiti wa Simba sc Mangungu?

Wajuvi wa majambo mtujuze, kwanini Alikiba avae nguo ya njano kwenye onyesho la Jana, na kwa Nini hakuimba nyimbo pendwa ya - Simba NI mnyama.
 
Wajuvi wa majambo mtujuze, kwanini Alikiba avae nguo ya njano kwenye onyesho la Jana, na kwa Nini hakuimba nyimbo pendwa ya - Simba NI mnyama.
Alipewa dakika 2 za kupaform na aliambiwa na CAF kuwa aimbe nyimbo ya sumu.
 
Wajuzi naomba mnisaidie kwa nini katambulishwa Rais wa Heshima Mo dewj badala ya Mwenyekiti aliyechaguliwa na wanasimba kwa kumpigia kura na kushinda.

Upande wa Al ahly alitambulishwa Mwenyekiti wa Timu lakini nimeshangazwa kumuona Mo dewji (raisi wa kujipa) yeye ndiyo kuwa mbele na Mwenyekiti Mangungu hata kuonekana kwa bahati mbaya hakuna.

Nisipojibiwa hili swali nitaamini moja kwa moja kuwa Mo dewji kajimilikisha timu bila ya wanasimba kujua.
Wamekosea mpelekeni Harsi akatambulishwe yeye,haya fanyeni fasta
 
Wamekosea mpelekeni Harsi akatambulishwe yeye,haya fanyeni fasta
MANGUNGU NA TRY AGAIN NDIYO WALISTAHILI KUWA PALE KUZUNGUMZA NA RASI WA FIFA /CAF SIYO MUDI

NYINYI MNALETA USHABIKI MAANDAZI TU.

MO DEWJ NI NAN??

SIMBA DAY MBONA ALIPEWA MAKALA ASOME TU HUKU MANGUNGU NA TRY AGAIN WAPO VITI VYA JUU WAKILA UPEPO NA MH RAIS

TIMU HII NI YA MO.
 
Back
Top Bottom