inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Alikua anamung'unya peremende muda wote ili mdomo usinuke mbele ya WengerMo ndiyo mwenye timu, wanachama na mwenyekiti wao ni kinadharia zaidi .
Barbara naye ameoneka pembeni ya Wenger wakiteta
[emoji16] NIMECHEKA KISENGEAlikua anamung'unya peremende muda wote ili mdomo usinuke mbele ya Wenger
Alipewa dakika 2 za kupaform na aliambiwa na CAF kuwa aimbe nyimbo ya sumu.Wajuvi wa majambo mtujuze, kwanini Alikiba avae nguo ya njano kwenye onyesho la Jana, na kwa Nini hakuimba nyimbo pendwa ya - Simba NI mnyama.
Kazi kwelikweli. Nyimbo ya sumuAlipewa dakika 2 za kupaform na aliambiwa na CAF kuwa aimbe nyimbo ya sumu.
Wamekosea mpelekeni Harsi akatambulishwe yeye,haya fanyeni fastaWajuzi naomba mnisaidie kwa nini katambulishwa Rais wa Heshima Mo dewj badala ya Mwenyekiti aliyechaguliwa na wanasimba kwa kumpigia kura na kushinda.
Upande wa Al ahly alitambulishwa Mwenyekiti wa Timu lakini nimeshangazwa kumuona Mo dewji (raisi wa kujipa) yeye ndiyo kuwa mbele na Mwenyekiti Mangungu hata kuonekana kwa bahati mbaya hakuna.
Nisipojibiwa hili swali nitaamini moja kwa moja kuwa Mo dewji kajimilikisha timu bila ya wanasimba kujua.
UKINIJIBU HILI SWALI NITAKUONA WA MAANA SANAWamekosea mpelekeni Harsi akatambulishwe yeye,haya fanyeni fasta
MANGUNGU NA TRY AGAIN NDIYO WALISTAHILI KUWA PALE KUZUNGUMZA NA RASI WA FIFA /CAF SIYO MUDIWamekosea mpelekeni Harsi akatambulishwe yeye,haya fanyeni fasta
WEWE UPO SAHIHI MKUU KWA MAJIBU YAKO.Mo ndiyo mwenye timu, wanachama na mwenyekiti wao ni kinadharia zaidi .
Barbara naye ameoneka pembeni ya Wenger wakiteta
Mo DEWJ siyo kiongozi KIKATIBA hapaswi kufanya hayo anayoyafanya.Wamekosea mpelekeni Harsi akatambulishwe yeye,haya fanyeni fasta