Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Karibu nchi nzima, maeneo tofauti tofauti yanakatika katika umeme kila siku hususani kwa siku za karibuni pasipo kutolewa taarifa na Tanesco, na jambo hilo linaathiri sana maisha ya watu na shughuli zao. Sote tunajua Tanzania tupo kwenye mgawo wa umeme.
Sasa kuna ugumu gani kwa TANESCO kutoa taarifa rasmi na ratiba ya mgao wa umeme kila siku ili wananchi wajipange namna ya kuishi na huo mgao wa umeme?
Inaumiza mnoo mtu anaamka asubuhi na mapema kwenda eneo lake la kazi, halafu anafika kwenye eneo lake la kazi na kukuta umeme hakuna na hajui umeme utarejea saa ngapi.