dog 1
JF-Expert Member
- Nov 20, 2015
- 301
- 835
Mjinga na mshamba ni yule asiyejua kuwa Magufuli aliingia madarakani na kukuta tatizo sugu la kukatika kwa umeme. Nchi iliwekwa kwenye mgao wa umeme kwa lazima ili mafisadi wapige pesa.Ni ujinga na ushamba wa jiwe kulazimisha mitambo ya kufua ememe ifanye kazi mfululizo bila ya kufanyiwa matengenezo. Matokeo yake mitambo imechakaa.
Mwamba kaliona tatizo kakomesha mgao. Nchi ikawa na nuru. Kaondoka zake mafisadi na wapigaji wamerudi na wametulazimisha kuingia gizani tena.
Sasa jiulize mwenyewe... Mshamba na mjinga ni nani?