Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Wahusika wako busy kumtukana Magufuli, hawana muda tena wa kushugulikia matatizo ya Wananchi, kama hata wana huo uwezo, lkn Magufuli hakukata umeme kihivyo!
Shetani lazima atukanwe muda wote boss.
Sawa tukaneni lkn mlete umeme na kutatua matatizo ya watu pia!
Yeye alimuachia nani huo umeme?
Hayupo lkn watu wanahitaji umeme sasa hivi!
Tulikula bata sana kwenye vifurushi na umeme.Wahusika wako busy kumtukana Magufuli, hawana muda tena wa kushugulikia matatizo ya Wananchi, kama hata wana huo uwezo, lkn Magufuli hakukata umeme kihivyo!
sahivi mambo ni hovyo hovyo tu qumamae.Tulikula bata sana kwenye vifurushi na umeme.
Ndo mtu una salunisahivi mambo ni hovyo hovyo tu qumamae.
wao haiwahusu wanamajenereta ya auto full time full tank.Ndo mtu una saluni
Huyo shetani alikuachia mimba ya miezi mingapi,mbona hujifungui mamiloo?Shetani lazima atukanwe muda wote boss.
Kinachosababisha kukatika kwa umeme kwa muda mrefu karibu kila siku ni nini?Ratiba haitokewi kwasabb hakuna mgao wa umeme
Ni ujinga na ushamba wa jiwe kulazimisha mitambo ya kufua ememe ifanye kazi mfululizo bila ya kufanyiwa matengenezo. Matokeo yake mitambo imechakaa.Kinachosababisha kukatika kwa umeme kwa muda mrefu karibu kila siku ni nini?