Mjinga na mshamba ni yule asiyejua kuwa Magufuli aliingia madarakani na kukuta tatizo sugu la kukatika kwa umeme. Nchi iliwekwa kwenye mgao wa umeme kwa lazima ili mafisadi wapige pesa.Ni ujinga na ushamba wa jiwe kulazimisha mitambo ya kufua ememe ifanye kazi mfululizo bila ya kufanyiwa matengenezo. Matokeo yake mitambo imechakaa.
Hizi ni pumba alijaribu kuwalisha watanzania ili kujipatia umaarufu. Lkn kwa uhalisia alikuwa anashinikiza mitambo ifanye kazi bila kufuata taratibuMjinga na mshamba ni yule asiyejua kuwa Magufuli aliingia madarakani na kukuta tatizo sugu la kukatika kwa umeme. Nchi iliwekwa kwenye mgao wa umeme kwa lazima ili mafisadi wapige pesa.
Mwamba kaliona tatizo kakomesha mgao. Nchi ikawa na nuru. Kaondoka zake mafisadi na wapigaji wamerudi na wametulazimisha kuingia gizani tena.
Sasa jiulize mwenyewe... Mshamba na mjinga ni nani?
Ili iweje?
Moshi Hakuna haja ya umeme huko. Mkiona hamuwezi hameniSasa Ni muda muafaka wa kununua power bank na genereta .
Tangu asubuhi hakuna umeme hapa moshi .
Na huko Kwako Mtwara Vipi ?Moshi Hakuna haja ya umeme huko. Mkiona hamuwezi hameni
Muda wa kufanya nini?Wapeni muda jamani!