omujubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 4,326
- 2,506
Hapa utakuwa umewagusa gt.Maisha ya binadamu yametawaliwa na hisia kuliko ufahamu kwa kiwango kikubwa. Na kuhusu uwepo wa juu kama "mbinguni" na chini kama "motoni" bado ni nadharia iliyojikita katika uzio wa DINI, ambayo haiwapi nafasi waamini wa DINI husika kuweza kuchanganua yaliyomo vitabuni.
Na kiukweli kubaadhi ya imani hazitoi hata uhuru wa kuyawaza haya na endapo utajifanya kutafakari basi yanakukuta yaliyowakuta wachora vibonzo wa Kifaransa.