Hivi ni kwanini ukiajiriwa huwezi kuwa na msukumo wa kuwa na maendelo makubwa?

Hivi ni kwanini ukiajiriwa huwezi kuwa na msukumo wa kuwa na maendelo makubwa?

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Habarini,
Naomba tujadili mada hii.

Hivi ni kwanini ukiajiriwa huwezi kuwa na msukumo wa kuwa na maendelo makubwa.

Hivi kusingekuwa na wafanyabiashara miji yetu ingeendelea kweli?

Ukifika mahali popote penye wafanyabiashara unakuta maduka au makampuni yamejipanga panapendeza na kadri siku zinavyozidi kwenda patazidi kuendelea zaidi.

Lakini ukisha kuajiriwa tu kwanza ndio unaanza kuwaza kukopa ili ujenge au ununue gari. Wazo la mwisho unaanza kujipanga kwaajili ya kustaafu.

Embu toa mawazo yako kwanini yote haya yanatokea.
 
Habarini,
Naomba tujadili mada hii.

Hivi ni kwanini ukiajiriwa huwezi kuwa na msukumo wa kuwa na maendelo makubwa.

Hivi kusingekuwa na wafanyabiashara miji yetu ingeendelea kweli?

Ukifika mahali popote penye wafanyabiashara unakuta maduka au makampuni yamejipanga panapendeza na kadri siku zinavyozidi kwenda patazidi kuendelea zaidi.

Lakini ukisha kuajiriwa tu kwanza ndio unaanza kuwaza kukopa ili ujenge au ununue gari. Wazo la mwisho unaanza kujipanga kwaajili ya kustraafu.

Embu tu mawazo yako kwanini yote haya yanatokea.
Aisee
 
Our minds has no difference with how computer or certain program has programmed to work.
First thoughts, words, actions, habits, destinations. Sasa sie bana binadamu tukishazoea kufanya kitu inakuwa kazi kukiacha yaani Ni kazi mno Ni sawa na ku decode or recode a certain program ambayo Ina run kwa pc.

Kwanza kitu kuanza kukifanya at first ubongo hautaki ukiulazimisha mno unazoea unajua mazingira yote ya iyo kitu. Sasa ukishazoea Tena hutaki kuacha ama kuhamisha hapo.

Maana umeshakifanya kimekuwa Ile automated level, yaani unajifanya bila ya kuwaza. Yaani ubongo upo kufanya kazi in automated level or repeated fashion Ila kila siku kitu kipya hautaki yaani utagombana na ubongo. Ukishazoea ama kujua kitu unajifanya bila ya kuwAza Mana umeshafanya thousands times ndio hii uzoefu wanautaka kazini.

Maana utakuwa unafanya kitu in automated level or even in subconscious level no need much energy ya concious level ya wewe kuumiza kichwa kuwa ukifanye.

Na ndio Mana Kama mtu huwa anaongea kitu Cha uwongo anawaza so ana consume calories kadhaa so lazima blood itasafiri na heartbeat itabadilika hii mbinu wanaitumia kuhoji watuhumiwa wao wanaicheki Ile graph ya calories consumption.

Sasa bana ubongo ulivyo Ni both energy server and pain avoidance plus na una repulsion force kubwa mno kwa uncertainties. Na binadamu tunapenda certainties mno yaani mno Ni moja la hitaji sita la binadamu.

Sasa umeshazoea kufanya kitu pasipo kuumiza kichwa why uhame hapo. Kama mwalimu amefundisha hesabu topics za f6 miaka zaidi ya 5 so zimemkaa kichwani huwa Ni kutiririka na anafurahia Mana haumii Wala kuwaza.

Kama Ni wakili ameshasimamia kesi alfu kidogo so imekuwa uwanja wake wa nyumbani.

Kama Ni msukuma toroli, mpiga debe, mchimba madini, mshona viatu, Engineer, mama ntilie ,mwizi, jambazi, muuza uchi, muuza dawa za kulevya ama spy wamezifanya kazi zao for long term so wanajua all risks associated with them and how to conquer them.

Kwanza unakuta tayari wameshakuwa na immunity ama wamekuwa immunized na hayo majanga ambayo wewe nje unayaogopa Ila bongo zao zimezoea zinaona Kama kawaida sawa na wacheza kamari ama wezi ama investors plus traders akiakuambia amepoteza dola laki tano wewe unashangaa Ila yeye kwake kawaida.

So kumhamisha hapo inabidi ufanye kazi kubwa mno Yani mno kumtoa hapo na yeye awe willing. Yaani kumhamisha hapo alipo Ni sawa na kuhamisha electrons zilizoko kwa orbital ya tatu ziende orbit iliyo karibu na Ile ya nucleus kuna initial energy hapo sijui inaitwa activation energy inatumika sio ya kitoto ujue.

Ama kubadili barafu Kuja maji kumbuka Kuna zero degree celcious na Kuna zero ya maji degree celcious. Sasa bana kuipata iyo zero ya maju kutoka zero ya barafu Kuna nishati mficho ama hidden/latent heat of energy ipo hapo huwa haionekani ipo constant kwa baadhi ya maada huwa haionekani. Hii Ni ernergy Ni kubwa mno yaani mno sio ya kitoto.

Ni sawa shekhe awe padri/pastor or vice versa Kuna beliefs ameshazi store in his mind an remember beliefs are energy na ndio Mana mie nikikupinga unachoamini hata mtizamo wa kawaida tunashambuliana kwa matusi ,kupigana ama chuki na ndio Mana watu wanakuwa na amani na wale wenye mtizamo unaofanana yaaji mbali na physical features zinazotutofautisha kingine kinachotutofautisha is how to think. We think and perceive things quite differently,huwa hatujui mpaka utakaposikia mwenzako anakuambia fulani ana dharau na wewe huoni dharau na Mambo mengine tu. Hata mtizamo wetu kuhusu uongozi uliopo ama dini zetu ama Imani zetu ama Vita iliyopo saivi imepelekea tozo tuna mtizamo tofauti.

Sasa bana mtu ameshazoea kufanya icho kitu kumhamisha elewa Kuna kazi Ni wachache mno wanaohama yaani wachache mkiwa Mia labda huwa Ni 5-9 tu Basi wengine hao 90-95 watazekeea hapo.

Elewa maisha Ni marudio na ili uipate furaha yako lazima utafute kitu utakachokuwa unarudia kukifanya kila siku. Mfano kila siku unatibu wagonjwa, unatetea watu wasifungwe unafundisha unawinda kumbuka mbinu Ni zile zile unazitumia mpaka zimeshakuwa just part of who are you, it become second nature, part of your DNA , kila siku upo na mke/mme wako huyo huyo kila siku.

Ndege anaamka kila siku asubuhi kwenda kuokota chakula, na kurudi muda ule ule. Mfanyakazi ama mfanyabiashara anafanya kitu kile like kila siku. Ni sawa kupika kila siku Ni kitu kile kile unakifanya ama kazi za nyumbani hazibadiliki. Usafi washa Niko pika OSHA vyombo nenda chooni lala hakuna zaidi. Mkulima anaalima anapanda anapalilia anavuna anauza Ni mzunguko wake yaani Ni ule ule .

Mfanyabiashara anaagiza bidhaa anauza narudia mzunguko wake huo huo.
Jua linachomoza kila siku sehemu Ile Ile haijawahi badilisha pande za kuchomoza ama kuchwea labda,moon the same ,dunia yetu inalizunguka jua kwa spidi Ile Ile na kwa muda ule ule na inapelekea tunapata usiku na mchana pia na majira mbalimbali ya mwaka haijawahi kubadilisha kazi yake.

Simba , cheetah, mako fish , crocodile and leopard wanawinda kwa the same strategy and the way of killing their prey is the same.mfano leopard or cheetah ana suffocate their prey kwa kuuma kwa koromeo na puma ana attack kwa spinal nyuma ya shingo hawajawahi kubadilisha those Killing techniques.

Sasa tunakuja suala la furaha huwa tunajua kuwa ukiwa na hela yaani pesa chafu mke/mme mzuri ,nyumba usafiri Basi utakuwa na furaha iyo huwa Ni furaha Ni temporary Mana Ina expire ndani ya muda mchache like two years. Cheki gari yako kwanza kuinunua kila wakati unaiosha huwezi azima mtu,hata house ,ama kazi mpya ama mpenzi mpya pale mwanzoni ndio unapokuwa na emotions za dopamine and endorphins zinakuwa zimemiminwa mwilini mwako hii Ni biochemistry. Sasa bana hizi huwa zinaisha mwilini na hivyo mwili unakusuma ufanye kitu kingine ili uzitie ujisikie furaha the same watumia vilevi wangono social media porno watumia nganda wanakuwa na temporary emotions za happiness.

Hata simu yako ulipoinunua uliipenda mno kila muda unazicheki yaani whatever ulicho admire like job ,new pusi, diki, car, house etc. You care it a lot at the beginning Ila baada ya hapo unaona kuwa Ni kawaida tu Wala hakuna jipya.

Maana Sasa Ile furaha mwii umezoea umekuwa sugu yaani Ni Kama umekuwa immunized na Ile Hali ya furaha so no longer new emotions trigger. Ni sawa ukiwa unapigwa unaumia mno mwanzoni baadaye unazoea yale maumivu hapa ndio watt wanachapwa baadaye wanakuwa sio waoga Tena wa fimbo.

Sasa bana ili wewe upate furaha Ni pale inatakiwa usovu problem ambazo Ni endless Mana utazidi kupata furaha mielle. Mfano unafurahia kutatua problem like kutibu watu, kutoa hukumu sahihi, kucheza mpira, kuuza bidhaa ,kushauri watu, kufundisha watu ndio iwe furaha yako uwe proud na kufundisha na kutoa A na kuongoza nchi nzima hii ndio furaha.

Mtu ufurahie kutatua tatizo fulani ndipo unapopata reward mbali mbali like money aka salary/profit/sadaka/Msaada Ila huwezi pata reward bila ya kufanya kitu.

Sasa bana watu waliofanikiwa Ni wale ambao wanafurahia kufanya kitu wanachokipenda pasipo hata kulipwa Mana wanaenjoi kutatua Ile keep iliyowashinda wengine ama yeye Basi tu anafurahia kutibu wagonjwa ama kuhudumia wateja wanaridhika na anapata feedback or kickback for his service in many forms sio lazima money.

Hapa ndio Kuna uke mtego kuwa tunahitaji watu wanaojitolea Kama unapenda kitu utajitolea ili uzidi kubobea kwa fani yako uwe mtata zaidi.waliofanikiwa walishangaa kulipwa kwa kufanya kitu wanachokipenda Ile bloody sio kutania.

Sawa na kusubiria mpenzi wako even 10hrs asipotokea huchukii upo okay. Unaweza msubirie amalize shule for ten years ili umuoe mana yeye ndiye furaha yako.

Maana kazi kubwa ya ubongo bana Ni kutafuta furaha na kukwepesha na maumivu na kujua kinachoenda kutokea kesho na ndio hapa waganga wa kienyeji na wachungaji wanapata kula yao Mana Wana uwezo wa kukuambia kesho yako na baada ya kifo kuwa itakuwaje. Kumbuka certainty Ni hitaji kubwa la binadamu anapenda ajue atapata sh ngapi kwa mwezi na ndio ukimwambia biashara yeye anawaza atapata ngapi kwa mwezi kwa biashara hiyo.
Huku biashara is probability game anything can happen.

Sasa mtu akishaajiriwa anajikuta Ile kazi ya fani yake haimpi furaha anabakia kuifanya ili tu ili basics and some living and pay bills.

Sasa hapo atabakia kuitukana kazi yake Mara boss mbaya kumbe yeye ndio mbaya wa iyo kazi. Mana angekuwa anaipenda Kama anavyopenda demu wake ambaye akikohoa tu anafurahi ama anakimbia Wala hawazi kuwa maslahi madogo.

Mana maslahi yanakuja baada ya wewe kufanya kile kitu pasipo kusukumwa na kwa ufanisi wa Hali ya juu unapitiliza muda wa kazi ,unashangaa ikija wa kupanda cheo ndiye huyo huku wewe ukitafuta sangoma ili uwe na mvuto.

Maisha Ni kufanya kitu unachokiownda na utaona Mana ya maisha. Hela huwa Ni outcome/byproduct/reward like ahsante.

Sasa mfano cheki watu wetu wengi wanafanya kazi zao Kama wamelazimishwa.

Mfanyabiashara dukani anakuambia kuwa Ni usumbufu ,Malaya anataka fasta tu achukue chake bila ya wewe kuangalia kuwa mteja wake uridhike ,mhudumu wa hotel anahudumia kwa kujivuta wakati hawajui kuwa tips zinatoka kwa kuhudumia vizuri mteja mpaka anajisikia ili na kesho arudi.sasa nikija kwa ofisi yako unahudumia kishibe kesho sirudi.

Naomba niachie hapa nadhani nitakuwa nimeelekeweka kuwa ukishaajiriwa tayari unakuta unaijua kesho yako itakuwaje. Na pia umezoea kufanya kitu pasipo kuumiza kichwa. Hizi Ni two characteristics of our humans brain.

1- to know what's going to happen in her life /tomorrow or whatever she's going/doing ,she want to know the end results hii yote tunayo. Sasa ishu mpya hujui Kama utapata loss pia unapofungua biashara huwezi jua kuwa faida yako per day Ni ngapi even per annum Mana anything can happen na kuna risks nyingi katika maisha ama biashara. So we love certainty.

2. Humans brain love or wants pleasure by any costs na ndio Mana hapa wale wanaoburudisha watu wanaishi kwa hii character ya binadamu Mana Kuna musicians, comedians, story Teller, wachezaji, wauza vilevi, wauza uchi yaani chochote Cha kukufanya ufurahie hapa Yuko tayari kutumia gharama yoyote ili kuipata iyo furaha nadhani unaonaga binti akipenda anaruka fence ili aende club ama kwa ex wake Kama jamaa wa buswelu mke wake aliacha magari tatu nyumba mbili na wadogo zake wanahumuiwa Ila akaenda kwa ex wake Mana ndipo furaha ilipo. Na ndio Mana mie nikishaombwa hela nikipewa namba najua hapa sipendwi. Yule hakukosa kitu matokeo yake risasi Saba na missed call42.


3-brain Ina avoid both physical and emotional pains by by means even to lie to you ili usijue kuwa Kuna ukweli ambao hupendi kuusikia na Ina block wewe uwezo wa kupokea ule ukweli.

Mfano ukikanyaga kitu like msumari Moto ubongo wako unaamrisha haraka wewe kutoa mkono ama mguu haraka hata pasipo wewe kuwaza, this is because we've millions of years of brains that we inherited from our ancestors that they needed quick reaction when they attacked with saber toothed tiger ,bila ya hivyo hii species tusingekuwepo tungetoweka like dinosaur species.so they needed very lightning speed to response to dangerous animals like lion tiger cheetah or leopard.

Emotions pain yenyewe mfano unapenda Ila wewe hupendwi Sasa ubongo wako utakataa kupokea ukweli kuwa haupendwi. So hata ukifanyiwa Jambo unaziba kuona Mana ya Hilo Jambo kuwa hili linaonyesha kabisa hupendwi na haulipi uzito sana.ila Sasa ngoja ufanyiwe kidogo like kusalimiwa ama kujibiwa sms hili kinakuwa na nguvu mno kuwa Kuna dalili ya wewe kupendwa kuliko hayo mengine. Yaani ubongo unaziba ,block information ama ku bypass,Kuna kitu kinaitwa amygdala huwa inatabia ya ku hijack rational brain so muda huo upo emotionally ya kupenda hulioni Ilo la kuwa Ni uwongo haupendwi.
 
SALARY has a tendency of making you forget your dreams. So if yo have this in mind then you'll earlier and quickly figure out your exit way.
Yes! It's like a drug that you're given to forget your dreams.
We love a definite life like our pension how much will be about 40yrs working like government mtumishi
 
Ukiajiriwa maana yake Akili yako unamkabizi aliyekuajiri.

To use it for a foresable future.
Lakini dunia inahitaji watu wakufanya kazi kwa niaba ya wengine.

So lazima kuna watu wataajiwa na kuna watu wataajiri.

Halafu watanyakazi wengi ni kama housegirls tuu.
 
Ukiajiriwa maana yake Akili yako unamkabizi aliyekuajiri...
Hii Ni ukweli mchungu so brain haipendi ukweli Mana inapata maumivu Bora uzibe masikio ama utoke eneo Ilo.

We love so much an instant gratification Ila long term gratification sio kabisa friendly kwetu.
Mfano mtu kunywa soda na chipsi anafurahi instant Ila Sasa mwambie atafune tangawizi mbichi na achemshe mihogo ale na uji usio na sukari hawezi.

Yaaani the way our nature of mind zilivyo Ile naturally ni ziko kwenye state ya umasikini so ili uwe tajiri inabidi ufanye kinyume ama u reverse mechanism ya ubongo kutokea kutafuta furaha yaa muda mfupi to kutafuta ya muda mrefu.

Kutafuta maarifa ama ujuzi Ni gharama kubwa unaumia .

Yaani so ubongo unapenda mno pleasure na u hate pains at any means even by deceiving me.
So wewe fanya kinyume chake penda maumivu na chukia pleasure Ni Nani ataweza.

Mfano zoezi Ni zuri at least kwa siku 30minutes Ila Sasa Kuna maumivu Nani ataweza. It's hard to do mentally not an exercise itself kuwa huwezi fanya zoezi kwa nusu saa kila siku kwa faida ya afya yako Ila Ni ngumu tu kichwani.

Na hapo kichwa kinakupa reasons nyingi za kukufanya usifanye kitu ambacho hauko comfortable nacho ,Mara utajipa sababu nakubywa maji ,matunda na ninafakiyo usiku so hayo mazoezi Tosha na maji ama matunda yanatoa sumu ama ngoja kesho mpaka muda unakutupa mkono.

Yaani ubongo una tricky nyingi mno za kukufanya wewe usifanye Jambo lenye faida kwako Mana hautaki shida sema ukisimama kidete unafanikisha na unashinda hizo messenger za brain.


"The greatest victory is to conquer oneself not your opponent/enemy" by jamaa mmoja ivi mtawala wa kirumi nimesahau
 
Brain adapts you to
survive in the circumstance of your
environment. This adaptation occurs by
creating patterns that allow you to
negotiate your environment. Then the
patterns go on automatic and operate in
the background -outside of your
awareness.

Hii ndio sumu kubwa why huwa hatuachi kazi tulizoajiriwa. Mfano mie Kuna watu Niko la Pili wako wanafanya kazi kwa mabasi,wanashona viatu mpaka saivi wako kwa kazi zao.
Mie nimekuwa maisha yangu Niko dukani mpaka saivi naipenda mno kazi ya dukani huniambii kuhusu kuajiriwa,yaani najisikia Raha mno kumuuzia mteja ili na kesho arudi.

Yaani hata nikija dukani kwako naweza nikaifanya bure sema tu nakuwa nahitaji mahitaji yangu for living and some wants and a little pleasure.
 
Our minds are hard reinforced wired to avoid both physical and emotional pains. Everybody understands the nature of avoiding of physical pains. Accidentally set your hand on a hot burner, and your hand moves away from heat automatically; it's an instinctive reaction. Our minds have a number of ways to shield us from information that we have learned to perceive as painful. For example, at a concious level, we can rationalize, justify, or make a case for staying in losing,wrong or unsuitable reality. Some of the more typical ways we do this are to call our close buddies, talk to our gods, or look at indicators we never see, all for the express purpose of gathering nonpainful information in order to deny the validity of the of the painful information.

At a subconscious level, our minds will automatically alter, distort, or specifically exclude information from our concious awareness. In other words, we don't know at a concious level that our pain-avoidance mechanisms are either excluding or altering the information being offered by the real life/relationship/business/market/poverty.
You'll pick and choose information that's consistent with what I expect, so that I can maintain a pain - free state of mind.
What you consider friendship is really just your constant attempts to impress people."We suffer for the simple reason that suffering is biologically useful. It is nature s preferred agent for inspiring change. We have evolved to always live with a certain degree of dissatisfaction and insecurity, because it s the mildly dissatisfied and insecure creature that s going to do the most work to innovate and survive.
 
Mke wa Robert kiyosaki anaitwa kim alishawahi kusema maisha ya mshahara ni addiction kama addiction nyingine mtu akizoea maisha ya mshahara kujiajiri inakuwa ngumu kwasababu

'School tought them don't make mistakes and don't cooperate do it by your own versus street law say'

"make enough mistakes"
 
Hapo kwenye kuanza kukopa ndio kunapokosesha maendeleo, ukijibana ukatosheka na mshahara unaendelea ila ukiingiwa na pepo la kukopa mamillion na marejesho ni mara 2 au mara 3 ya kile ulichokopa ndipo unapoanza kufeli
Sasa mkuu unaendeleaje wakati hutengenezi profit? Hela zote unapewa tu.
 
SALARY has a tendency of making you forget your dreams. So if yo have this in mind then you'll earlier and quickly figure out your exit way.
Mishahara ya laki lakini waulize maceo mishahara yao uone kama salary inawafanya wasahau ndoto zao
 
Habarini,
Naomba tujadili mada hii.

Hivi ni kwanini ukiajiriwa huwezi kuwa na msukumo wa kuwa na maendelo makubwa.

Hivi kusingekuwa na wafanyabiashara miji yetu ingeendelea kweli?

Ukifika mahali popote penye wafanyabiashara unakuta maduka au makampuni yamejipanga panapendeza na kadri siku zinavyozidi kwenda patazidi kuendelea zaidi.

Lakini ukisha kuajiriwa tu kwanza ndio unaanza kuwaza kukopa ili ujenge au ununue gari. Wazo la mwisho unaanza kujipanga kwaajili ya kustaafu.

Embu toa mawazo yako kwanini yote haya yanatokea.
SI kweli ,
 
Back
Top Bottom