Hivi ni kwanini ukiajiriwa huwezi kuwa na msukumo wa kuwa na maendelo makubwa?

mwanangu,maelezo yako ni marefu sana.

siku nyingine,elezea tu kwa uchache ili tusikuchoshe na pia vile vile usituchoshe wasomaji
 
mwanangu,maelezo yako ni marefu sana.

siku nyingine,elezea tu kwa uchache ili tusikuchoshe na pia vile vile usituchoshe wasomaji
Ingekuwa story ya mbususu yaani Ile ya kufurahisha ubongo usingesema kuwa tunachoshana sio wewe unayeongea Bali Ni ubongo tuliopewa. Yaani ingekuwa Ni story za kufurahisha Kama Ile ya umughaka ama Carlos the jackal nadhani sahivi ungekuwa unauliza kuwa vipi muendelezo. Mie napambana na ubongo tuliopewa sio rafiki kabisa kwetu.

Inabidi ufanye kinyume na tulichopewa na nature.


Pia sio lazima usome. Mie navyotoa hizo materials Ni sawa nipo class. Subiria cheki nyuzi za kula mbususu kubeti na Simba na yanga ama ccm vs chadema zilivyo na viewers na wachangiaji wengi. Sio kuwa Ni ajabu Ni asili ya ubongo wetu.


Vitu vya Mana ubongo una repel na ku attract vitu visivyo na maana kwa maisha yetu.

This is our nature that's why success iko kwa watu wachache mno around 5% ya population ya dunia nzima.
Yaani am sure I don't lie ingekuwa nyuzi nilivyokula mbususu yenye paja la haja ,ingekuwa na urrefu Mara Mia ya hii hapa bado ungeisoma na kui digest yote mpaka unakosoa kuwa haiwezekani



All in all nashukuru kwa maoni yako. Nitajaribu kuendana na mind yako ama ubongo wako unavyotaka. Try to learn how your brain control you.


Mara ngapi umesema utafanya zoezi Ila hukufanya.
 
SEMA mkuu, nafkiri ni formula tu na kuwa kila mtu ana sehemu yake ya kutokea mfano tajiri namba mbili duniani aliajiriwa na baadaye akaacha kazi na kwenda kufungua kampuni yake/biashara yake.Pia tajiri namba Moja Asia aliajiriwa kama mwalimu wa kiingereza na baadaye akaja fungua business yake now ni tajiri namba Moja Asia. Mi nadhani swala la ujasiriamali ni ishu ya passion na opportunity, ukikazia unatoboa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…