Hivi Ni Kwanini Vijana wa CHADEMA wana Uwezo Mdogo Sanaaaa wa Kujenga Hoja Na Kuonekana Wengi hawana adabu?

Halafu nimegundua chadema wengi wapo mitandaoni, au mtu mmoja anatumia account nyingi ndio maana kila post utakutana na no Reforms No Election, na sio No lisu No Chadema No LGBTQ 🏳️‍🌈

Free palestine 🇵🇸
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ni swali ambalo ningependa tujadili kwa pamoja hapa jukwaani. Ni jambo ambalo nimekuwa nikiliona na kulishuhudia mara nyingi sana huku mitaani na vilingeni. ambapo vijana na Wafuasi wa CHADEMA vijana wameonyesha kuwa na uwezo mdogo Sanaa katika kujenga hoja na kushawishi kwa hoja.

Nimeona katika uchunguzi wangu kuwa ni vijana ambao wana Mihemuko kikubwa sana na wenye kujaa jazba waongeapo. Lakini katika kujaa huko jazba na Mihemuko waongeapo unakuta kwa kiasi kikubwa wanazungumza kwa kuropoka,kupayuka na kuongea bila Breki wala mpangilio wala hoja wala mantiki.

CHADEMA imekuwa na mkusanyiko wa vijana ambao Midomo yao imejaa matusi ,lugha chafu zenye kuonyesha kana kwamba ni watu waliokosa malezi mazuri ya wazazi wao na kujikuta wakijikulia tu bila uangalizi au malezi mazuri yenye kuwajenga kuwa na adabu ,hekima ,busara na utulivu wa akili. Vijana wa CHADEMA ni watu waliokosa utulivu wa kiakili. Muda wote utaona wapo juu juu tu Utafikiri wameweka miguu kwenye sufuria la maji ya moto.

Hawana adabu wala kwao hakuna cha huyu ni mkubwa au huyu amenizidi umri au huyu ni sawa na Baba au Mama yangu anayepaswa kuheshimiwa. Wao wanajiona kana kwamba wote wapo sawa na wanalingana kwa kila kitu CHADEMA imejaa vijana ambao ni kama au unaweza kufikiri labda wanatumia madawa ya kulevya hasa Bangi. Wao wanaweza kumtukana yeyote na kumdhalilisha yeyote yule ambaye hayupo upande wao au hawaungi mkono.

Embu wewe jaribu hata kupita kwenye kurasa zao za mitandao uangalie na uwe unafuatilia wanacho andika na kupost. kwa hakika utasikitika sana na kubakia ukitumia tu na kuwaza kama hawa vijana wamewa kupata malezi ya wazazi wao hususani Mama zao au waweza kujiuliza kama na wao walibebwa tumboni na mwanamke kwa Miezi Tisa na kunyonya maziwa ya Mama zao.

Ni vijana wanaotia aibu kubwa sana na cha kushangaza ni namna wanavyo ungana mkono katika kutetea ujinga wa mtu kumtukana mtu mwingine matusi pasipo sababu ya msingi. Ni vijana wa Hovyo sana unaweza kufikiri waliokotana vijana waliojikatia tamaa ya maisha ya kupoteza muelekeo na kisha kwenda kujiunga na CHADEMA.

Kibaya zaidi ni kuwa wapo katika chama ambacho kuheshimiana na suala la maadili ni msamiati mgumu sana. Vijana wa huko hawana uangalizi wala mtu wa kuwalea na kuwafunda vyema ili wawe vijana wazuri na wenye uwezo wa kujenga hoja zenye ushawishi na kukubalika kwa watu wote bila kujali itikadi zao za kisiasa.

Hii inatoa na kuleta picha ya kuwa CHADEMA haina uhai mrefu sana wala kutegemewa kuwa na ushawishi kwa watu. Kwa sababu vijana hawa waliokosa adabu ,kujawa na Mihemuko, uropokaji na ukurupukaji ndio watakaokuwa viongozi wa kesho kwenye chama chao. Jambo ambalo litaendelea kukipeleka chama shimoni kwa kasi kubwa sana.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwa maana hiyo wewe kibaka unaweza kuwa muelewa wa siasa na uchambuzi wa nchi hii kuliko Waziri mkuu na makamu wa kwanza wa Rais mstaafu marehemu Msuya? Hebu sikia hapa kasemaje? Kama huna uwezo uwe unaomba ushauri kwa wakubwa wako ili ubwege ukutoke!
 
Baada ya watu kua wazalendo kwa nchi au Taifa wanakua machawa wa kikundi flani ambacho baada ya mda kinaweza kisiwepo kama machawa hawakujifunza kipindi cha Magu alivyoondoka basi tuwe wazalendo kwa Taifa sio kakikundi ambako kanakuepo kwa Mda
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ni swali ambalo ningependa tujadili kwa pamoja hapa jukwaani. Ni jambo ambalo nimekuwa nikiliona na kulishuhudia mara nyingi sana huku mitaani na vilingeni. ambapo vijana na Wafuasi wa CHADEMA vijana wameonyesha kuwa na uwezo mdogo Sanaa katika kujenga hoja na kushawishi kwa hoja.

Nimeona katika uchunguzi wangu kuwa ni vijana ambao wana Mihemuko kikubwa sana na wenye kujaa jazba waongeapo. Lakini katika kujaa huko jazba na Mihemuko waongeapo unakuta kwa kiasi kikubwa wanazungumza kwa kuropoka,kupayuka na kuongea bila Breki wala mpangilio wala hoja wala mantiki.

CHADEMA imekuwa na mkusanyiko wa vijana ambao Midomo yao imejaa matusi ,lugha chafu zenye kuonyesha kana kwamba ni watu waliokosa malezi mazuri ya wazazi wao na kujikuta wakijikulia tu bila uangalizi au malezi mazuri yenye kuwajenga kuwa na adabu ,hekima ,busara na utulivu wa akili. Vijana wa CHADEMA ni watu waliokosa utulivu wa kiakili. Muda wote utaona wapo juu juu tu Utafikiri wameweka miguu kwenye sufuria la maji ya moto.

Hawana adabu wala kwao hakuna cha huyu ni mkubwa au huyu amenizidi umri au huyu ni sawa na Baba au Mama yangu anayepaswa kuheshimiwa. Wao wanajiona kana kwamba wote wapo sawa na wanalingana kwa kila kitu CHADEMA imejaa vijana ambao ni kama au unaweza kufikiri labda wanatumia madawa ya kulevya hasa Bangi. Wao wanaweza kumtukana yeyote na kumdhalilisha yeyote yule ambaye hayupo upande wao au hawaungi mkono.

Embu wewe jaribu hata kupita kwenye kurasa zao za mitandao uangalie na uwe unafuatilia wanacho andika na kupost. kwa hakika utasikitika sana na kubakia ukitumia tu na kuwaza kama hawa vijana wamewa kupata malezi ya wazazi wao hususani Mama zao au waweza kujiuliza kama na wao walibebwa tumboni na mwanamke kwa Miezi Tisa na kunyonya maziwa ya Mama zao.

Ni vijana wanaotia aibu kubwa sana na cha kushangaza ni namna wanavyo ungana mkono katika kutetea ujinga wa mtu kumtukana mtu mwingine matusi pasipo sababu ya msingi. Ni vijana wa Hovyo sana unaweza kufikiri waliokotana vijana waliojikatia tamaa ya maisha ya kupoteza muelekeo na kisha kwenda kujiunga na CHADEMA.

Kibaya zaidi ni kuwa wapo katika chama ambacho kuheshimiana na suala la maadili ni msamiati mgumu sana. Vijana wa huko hawana uangalizi wala mtu wa kuwalea na kuwafunda vyema ili wawe vijana wazuri na wenye uwezo wa kujenga hoja zenye ushawishi na kukubalika kwa watu wote bila kujali itikadi zao za kisiasa.

Hii inatoa na kuleta picha ya kuwa CHADEMA haina uhai mrefu sana wala kutegemewa kuwa na ushawishi kwa watu. Kwa s ababu vijana hawa wal/iokosa adabu ,kujawa na Mihemuko, uropokaji na ukurupukaji ndio watakaokuwa viongozi wa kesho kwenye chama chao. Jambo ambalo litaendelea kukipeleka chama shimoni kwa kasi kubwa sana.

Kazi iendele1e, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucoas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kuanzia leo tarehe 13/06/2025
Nimekublock totally.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ni swali ambalo ningependa tujadili kwa pamoja hapa jukwaani. Ni jambo ambalo nimekuwa nikiliona na kulishuhudia mara nyingi sana huku mitaani na vilingeni. ambapo vijana na Wafuasi wa CHADEMA vijana wameonyesha kuwa na uwezo mdogo Sanaa katika kujenga hoja na kushawishi kwa hoja.

Nimeona katika uchunguzi wangu kuwa ni vijana ambao wana Mihemuko kikubwa sana na wenye kujaa jazba waongeapo. Lakini katika kujaa huko jazba na Mihemuko waongeapo unakuta kwa kiasi kikubwa wanazungumza kwa kuropoka,kupayuka na kuongea bila Breki wala mpangilio wala hoja wala mantiki.

CHADEMA imekuwa na mkusanyiko wa vijana ambao Midomo yao imejaa matusi ,lugha chafu zenye kuonyesha kana kwamba ni watu waliokosa malezi mazuri ya wazazi wao na kujikuta wakijikulia tu bila uangalizi au malezi mazuri yenye kuwajenga kuwa na adabu ,hekima ,busara na utulivu wa akili. Vijana wa CHADEMA ni watu waliokosa utulivu wa kiakili. Muda wote utaona wapo juu juu tu Utafikiri wameweka miguu kwenye sufuria la maji ya moto.

Hawana adabu wala kwao hakuna cha huyu ni mkubwa au huyu amenizidi umri au huyu ni sawa na Baba au Mama yangu anayepaswa kuheshimiwa. Wao wanajiona kana kwamba wote wapo sawa na wanalingana kwa kila kitu CHADEMA imejaa vijana ambao ni kama au unaweza kufikiri labda wanatumia madawa ya kulevya hasa Bangi. Wao wanaweza kumtukana yeyote na kumdhalilisha yeyote yule ambaye hayupo upande wao au hawaungi mkono.

Embu wewe jaribu hata kupita kwenye kurasa zao za mitandao uangalie na uwe unafuatilia wanacho andika na kupost. kwa hakika utasikitika sana na kubakia ukitumia tu na kuwaza kama hawa vijana wamewa kupata malezi ya wazazi wao hususani Mama zao au waweza kujiuliza kama na wao walibebwa tumboni na mwanamke kwa Miezi Tisa na kunyonya maziwa ya Mama zao.

Ni vijana wanaotia aibu kubwa sana na cha kushangaza ni namna wanavyo ungana mkono katika kutetea ujinga wa mtu kumtukana mtu mwingine matusi pasipo sababu ya msingi. Ni vijana wa Hovyo sana unaweza kufikiri waliokotana vijana waliojikatia tamaa ya maisha ya kupoteza muelekeo na kisha kwenda kujiunga na CHADEMA.

Kibaya zaidi ni kuwa wapo katika chama ambacho kuheshimiana na suala la maadili ni msamiati mgumu sana. Vijana wa huko hawana uangalizi wala mtu wa kuwalea na kuwafunda vyema ili wawe vijana wazuri na wenye uwezo wa kujenga hoja zenye ushawishi na kukubalika kwa watu wote bila kujali itikadi zao za kisiasa.

Hii inatoa na kuleta picha ya kuwa CHADEMA haina uhai mrefu sana wala kutegemewa kuwa na ushawishi kwa watu. Kwa sababu vijana hawa waliokosa adabu ,kujawa na Mihemuko, uropokaji na ukurupukaji ndio watakaokuwa viongozi wa kesho kwenye chama chao. Jambo ambalo litaendelea kukipeleka chama shimoni kwa kasi kubwa sana.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Apa siyo darasani, kitendo cha ww kuandika liujumbe mreefuuu kama kitabu kinaonyesha wewe mwenyewe kwanza una uwezo mdogo pengine kuzidi hao uwasemao.

Pili tambua mtu kuwa chadema au ccm ni suala la kiitikadi ya mtu. Umeongea km vile unahisi kuna kundi linazaa ccm na lingine linazaa Chadema. Hii siyo swala la kibiolojia. Acha upimbi wewe!. Ata hiyo research uliyofanya ni wazi akili yako haiko kichwani bali, akili yako iko matakoni kama nyuki anavyo tumia kiuno.....
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ni swali ambalo ningependa tujadili kwa pamoja hapa jukwaani. Ni jambo ambalo nimekuwa nikiliona na kulishuhudia mara nyingi sana huku mitaani na vilingeni. ambapo vijana na Wafuasi wa CHADEMA vijana wameonyesha kuwa na uwezo mdogo Sanaa katika kujenga hoja na kushawishi kwa hoja.

Nimeona katika uchunguzi wangu kuwa ni vijana ambao wana Mihemuko kikubwa sana na wenye kujaa jazba waongeapo. Lakini katika kujaa huko jazba na Mihemuko waongeapo unakuta kwa kiasi kikubwa wanazungumza kwa kuropoka,kupayuka na kuongea bila Breki wala mpangilio wala hoja wala mantiki.

CHADEMA imekuwa na mkusanyiko wa vijana ambao Midomo yao imejaa matusi ,lugha chafu zenye kuonyesha kana kwamba ni watu waliokosa malezi mazuri ya wazazi wao na kujikuta wakijikulia tu bila uangalizi au malezi mazuri yenye kuwajenga kuwa na adabu ,hekima ,busara na utulivu wa akili. Vijana wa CHADEMA ni watu waliokosa utulivu wa kiakili. Muda wote utaona wapo juu juu tu Utafikiri wameweka miguu kwenye sufuria la maji ya moto.

Hawana adabu wala kwao hakuna cha huyu ni mkubwa au huyu amenizidi umri au huyu ni sawa na Baba au Mama yangu anayepaswa kuheshimiwa. Wao wanajiona kana kwamba wote wapo sawa na wanalingana kwa kila kitu CHADEMA imejaa vijana ambao ni kama au unaweza kufikiri labda wanatumia madawa ya kulevya hasa Bangi. Wao wanaweza kumtukana yeyote na kumdhalilisha yeyote yule ambaye hayupo upande wao au hawaungi mkono.

Embu wewe jaribu hata kupita kwenye kurasa zao za mitandao uangalie na uwe unafuatilia wanacho andika na kupost. kwa hakika utasikitika sana na kubakia ukitumia tu na kuwaza kama hawa vijana wamewa kupata malezi ya wazazi wao hususani Mama zao au waweza kujiuliza kama na wao walibebwa tumboni na mwanamke kwa Miezi Tisa na kunyonya maziwa ya Mama zao.

Ni vijana wanaotia aibu kubwa sana na cha kushangaza ni namna wanavyo ungana mkono katika kutetea ujinga wa mtu kumtukana mtu mwingine matusi pasipo sababu ya msingi. Ni vijana wa Hovyo sana unaweza kufikiri waliokotana vijana waliojikatia tamaa ya maisha ya kupoteza muelekeo na kisha kwenda kujiunga na CHADEMA.

Kibaya zaidi ni kuwa wapo katika chama ambacho kuheshimiana na suala la maadili ni msamiati mgumu sana. Vijana wa huko hawana uangalizi wala mtu wa kuwalea na kuwafunda vyema ili wawe vijana wazuri na wenye uwezo wa kujenga hoja zenye ushawishi na kukubalika kwa watu wote bila kujali itikadi zao za kisiasa.

Hii inatoa na kuleta picha ya kuwa CHADEMA haina uhai mrefu sana wala kutegemewa kuwa na ushawishi kwa watu. Kwa sababu vijana hawa waliokosa adabu ,kujawa na Mihemuko, uropokaji na ukurupukaji ndio watakaokuwa viongozi wa kesho kwenye chama chao. Jambo ambalo litaendelea kukipeleka chama shimoni kwa kasi kubwa sana.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Vijana wa chadema matusi na lugha chafu wamejifunza kwa viongozi wao wakuu usiwalaumu sana
 
Wewe mlamba nyayo za viongoz ili upate kula acha ujinga... Hoja za CDM zipo very straight na zinawachoma viongoz ndio maana wanapewa majina kama ya hawana adabu au watukanaji!! Kusema ukwel wa kuwaumiza CCM hiyo ni jinai!!
 
Ngoja tuone vijana walio wai kuwa chadema Sasa hivi wameshika nafasi za wanaccm
Katambi, Kitila, Silinde, lijualikali, Mashinji, Nasari,Gekuli, nk. Hawa wanatosha kuonyesha kuwa fact yako haina mashiko.
 
Utakuwa umevuta bangi ya MAMA WEWE SIYO BURE
 
Nipo tayari kufanya mdahalo na wanaccm wawili mi peke yangu.No reform no reform
 
Iweke adabu yako huku tufanye tathimi tuone wewe kijana wa kijani na unaowatukana hawana adabu.Ni yupi mwenye adabu na yupi hana adabu?
 
Wamegoma kua machawa w fisiem yenu.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom