Hivi Ni Kwanini Wanachama Wa CHADEMA Wanatukana Sana Matusi na Kukosa Adabu? Je Kuna Chuo Cha Matusi Wanachomiliki?

Hivi Ni Kwanini Wanachama Wa CHADEMA Wanatukana Sana Matusi na Kukosa Adabu? Je Kuna Chuo Cha Matusi Wanachomiliki?

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Ni Swali ambalo wengi wamekuwa wanajiuliza Sana na kukosa Majibu. Hivi ni Kwanini Asilimia Kubwa ya wanachama wa CHADEMA Wanatukana sana Matusi Utafikiri Vichaa au wendawazimu au watu wenye matatizo ya akili. Kwanini chama hiki wanachama wake wamekosa kabisa adabu na nidhamu?

Ni chama ambacho kwa kiasi kikubwa wanachama wake hawanaga cha Mkubwa wala Mzee . Wao wapo tayari kumporomoshea Yeyote matusi ya nguoni hata Bila Sababu. jaribu kuwakosoa ama kuwapinga kwa hoja uone namna watakavyo kuporomoshea na kukuogesha Mvua ya Matusi utafikiri Wamechanganyikiwa.

Utatukanwa matusi ya Nguoni na kila aina ya tusi linaloandikika na lisilo andikika. Hawachagui wa kumtukana wala wa kummwagia Matusi . Wao ilimradi tu uwapinge au kuwakosoa kwa hoja nzito kwao ni kosa kubwa sana unalostahili kushushiwa Mvua nzito na ya mawe ya Matusi utafikiri Elimino ya 98 .

Je unafikiri ni kwanini ipo hivyo? Je ni Elimu ndogo na kukosa kwao Elimu walikonako? Je ni kukosa Malezi mazuri kutoka kwa Wazazi wao? Je ni kukata tamaa ya Maisha kunakotokana na uvuvi wao wa kufanya kazi na kubakia kuonea wivu kila mwenye hali nzuri ya uchumi? Je kuna vitu wanatumia kama vile madawa ya kulevya na Bangi? Je ni kuzibuka akili ?

Nini kifanyike kudhibiti hali hii? Kwa sababu siyo vyema kuacha hali hii iendelee kwa watu kuendelea kutukanwa na Kudhalilishwa kwa matusi machafu na ya nguoni bila kuwachukulia hatua kali.

Je kuna kiwanda cha kuzalisha matusi huko CHADEMA? Kuna Chuo cha kufundisha Kozi za Matusi mbalimbali hadi uwe Bingwa na bobezi katika Matusi? Je kuna Viongozi wanaolea na kukuza vipaji vya kutukana Matusi huko CHADEMA ili kuja kuwafanya watukanaji waziri na wakubwa hapa Nchini?

Hata hapa kwenye uzi huu utaona wakiingia hapa namna watakavyo poromosha Matusi utafikiri wametoka kuopolewa kwenye pipa la gongo

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Nimeamini wanaosema wewe ndo Taahilaah mwenyewe wapo sahihi, kuna sehemu nimekushambulia kulipwa kuanzisha nyuzi za Lissu na Chadema nimekaa kidogo umerudi kwa jina jingine. Kule unajitahidi usisahau nonsense, ok, gentleman na useless, ila bado umeshtukiwa tu.😅😅
 
Ndugu zangu Watanzania,

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wengi wana depression, wana magonjwa ya akili umaskini wa kipato wengi wao ni makapuku wana hasira makasiriko wakifikiri kuna mtu kawasababishia umaskini, kumbe ni uzembe wao wenyewe
 
Nimeamini wanaosema wewe ndo Taahilaah mwenyewe wapo sahihi, kuna sehemu nimekushambulia kulipwa kuanzisha nyuzi za Lissu na Chadema nimekaa kidogo umerudi kwa jina jingine. Kule unajitahidi usisahau nonsense, ok, gentleman na useless, ila bado umeshtukiwa tu.😅😅
Naona unajitekenya na kujichekesha Mwenyewe kama zuzu vile
 
Naona unajitekenya na kujichekesha Mwenyewe kama zuzu vile
Tafuta kazi za kufanya usije kuolewa mtoto wa kiume, kubadilibadili I'd ili tu kuwasema Lissu na Chadema ni tabia za kichoko. Umeshaonekana chawa kila sehemu lakini huna mishipa ya aibu hata ya kujishtukia, humu jukwaani unaonekana takataka tu. Kazi kulamba makalio ya viongozi.
 
Mkubwa usipojipata na ukakaa panapokustahili kutukanwa ni wimbo wa Taifa

Tena Makebo yao makhanisi wote na wasagaji wanaotuongoza
 
Tafuta kazi za kufanya usije kuolewa mtoto wa kiume, kubadilibadili I'd ili tu kuwasema Lissu na Chadema ni tabia za kichoko. Umeshaonekana chawa kila sehemu lakini huna mishipa ya aibu hata ya kujishtukia, humu jukwaani unaonekana takataka tu. Kazi kulamba makalio ya viongozi.
Nina ID moja tu na sina zaidi ya hii na wala mimi siyo Chawa
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ni Swali ambalo wengi wamekuwa wanajiuliza Sana na kukosa Majibu. Hivi ni Kwanini Asilimia Kubwa ya wanachama wa CHADEMA Wanat hapa namna watakavyo poromosha Matusi utafikiri wametoka kuopolewa kwenye pipa la gongo

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwanza kabisa,
nadhani wengi wao bado wanaishi kwa wazazi wao licha ya kua tayari ni watu wazima kabisa, wana vipara na mvi kama zote.

Lakini pili,
wengi ni wanyonge sana kiuchumi na kwasababu ya uvivu wao,
maisha yamewapiga na kuwagalagaza vizuri sana na ndio maana ni wakali mno na wenye hasira na mihemko useless sana utadhani manyumbu.

Tatu na mwisho,
wengi wao wamevamia siasa kama vibwengo tu, na ndio maana imekua rahisi mno kwa chadema kuwatumia kama wanavyotaka, na kwakua viongozi wa chadema kuanzia ngazi ya taifa ni waropokaji, wakaamua kuwafundisha wanachama wao kutukana na kuporomosha matusi, na kufanya jambo hilo kama utambulisho wao muhimu mbele ya jamii.

Na ndio maana ukipita mtaani na kuuliza ni chama gani cha siasa kinatambulika kwa kutukana na kuporomosha matusi kuanzia viongozi hadi wanachama wa kawaida, utaambiwa ni chadema tu 🐒
 
Andiko refu lakini ndani ni upuuzi MAKALIO YAKO WEWE MWANAMKE
 
Back
Top Bottom