Hivi ni kwanini wanaume wafupi wanaringa?

Nauliza kwanini wanaume wafupi wanaringa wanajionesha, wanajisikia na kupenda kuonekana, ila wanaume warefu ni baadhi.
Habari..Kwanza kabisa tunapoongelea ufupi tujuwe kila mtu ni mrefu na mfupi kwa mwingene..Kimo cha mtu kuitwa mfupi ni tafsiri ya jamii inayo wazunguka...Anaweza kuwa mrefu Njombe but akawa mfupi Uchugani hivyo basi
Kama weusi walilivyo pigania ubaguzi wa rangi 😆 Nawafupi wanahaki ya kuchukia kama warefu kwa mtazamo wako wa kimo....NB sizani kama unafika FT 6.5 in ISO we mfupi pia🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…