Hivi ni kwanini wanaume waliooa ni wavivu katika mapenzi..?

ngoja uolewe na wewe utayaona. bnafsi naona wasichana wengi wanajisahau sana baada ya kuolewa na ndio maana nyumba ndogo haziwezi kuisha

mie staki nisubiri mpaka niolewe ndio niyaone na ndio maana nimeamua kuuliza humu kabla sijaingia huko kwani mwanaume mzembemzembe mie simtaki
 
...human nature na tabia ya "kipya kinyemi!"
Suala hili halijalishi Mume au mke, sote tunachangia kupunguza mvuto wa mahaba
kwa kuingiza dosari na madoa mbali mbali i.e chuki, dharau, etc ambayo hunyausha mahaba katika maisha yetu ya mapenzi.
 
sasa km ni hvyo ni kwanini usivunje ukimya ukazungumza na mwenzi wako.haujui huko ni kumtesa mwanamke unavyomparamia kama kuku!

Hahahhh FL si unawajua walivyo wagumu kuvunja huo ukimya? We fanya mabadiliko tu utaona adab yake........leo kaja kaparamia kama kuku usisubiri na kesho aparamie......mparamie weye tena mlangoni usisubiri sijui chumbani, taa imezimwa we kamata.aftaroo si ni ako kihalali??
(kwa wenye nyumba zao binafsi zenye magereji yaliyoko Basement sijui......you know what to do) Hivi FL umefunga vizuri mlango?? Maana Teamo akiingia humu, nafwa
 
kabla ya kuoa kuku anakua sio wako.lazima umshikie manati (ujitume mpaka jasho la damu linaweza kutoka) ndo uweze kumuiba.lakini ukishaoa kuku anakua wako, manati ya nini.

ooh,kumbe uvivu niwa makusudi eeh!sasa hii inaboa lakini
 
...human nature na tabia ya "kipya kinyemi!"
Suala hili halijalishi Mume au mke, sote tunachangia kupunguza mvuto wa mahaba
kwa kuingiza dosari na madoa mbali mbali i.e chuki, dharau, etc ambayo hunyausha mahaba katika maisha yetu ya mapenzi.


I salute you Sir......
KWeli kabisa its a human nature and that is why tumepewa maarifa ya kujaribu ku'keep the flame burning' si ndio?? Ni kweli mambo ya chuki, dharau n.k hutufanya tusione umuhimu wa kuapply haya maarifa.why should I bother kwa mtu anayenidharau? So to keep the flame burning needs ushirikiano wa wote wawili
 
Sio wanaume tu hata wanawake walioolewa nao pia wanakuwa wavivu, ndio maana kunakuwa na nyumba ndogo nyingi.

ukiona mwanamke ni mvivu basi ujue mwanaume aliyenaye ni mvivu kupindukia.wanawake hucop na mazingira haraka so hata wakiwa wavivu wakakutana na mwanaume aliyechangamka,nao huchangamka haraka.ila km wamechangamka wakakutana na mvivu nao huanza kuwa wavivu.wanaume waliooa wanamapenzi ya kizee
 
...human nature na tabia ya "kipya kinyemi!"
Suala hili halijalishi Mume au mke, sote tunachangia kupunguza mvuto wa mahaba
kwa kuingiza dosari na madoa mbali mbali i.e chuki, dharau, etc ambayo hunyausha mahaba katika maisha yetu ya mapenzi.
mbu upo?
baby anakusalimia sana....!

eti mbu kuna mabadiliko yoyote ya tabia-teamo kabla na baada ya kuwa na kale ''kamgeni''?
 

HAhahahahah We FL wewe shauri yako wakija vijana kina Teamo, Asprin n.k ambao wameoa mwaka jana wewe unawaambia wana mapenzi ya kizee?? Duh napata mada nyingi sana kwenye hii phrase yako........so na MBA wote wengy nyumba ndogos wana mapenzi ya kizee so nyumba ndogos zinapenda mapenzi ya kizee na kwa kuwa ni trend inayokuwa kwa kazi so mapenzi ya kizee ndio yanayofaa ............
 

kwahiyo mwanamke akuhamasishe wewe tu,kisha umparamie mwenzako kisa mwiko uko tayari kupikia.huo ni ubinafsi mkubwa
 
Hakiko wazi maana umesema hujaolewa hayo mauzoefu umeyapata wapi?? Ndio swali langu la msingi.

Labda kama amewahi kuwa infii . . . coz hatakiwi kusema ana uzoefu
 

nimeshakua ndio maana nayaona kwa wengine.acha kujitetea huo ni uvivu ambao ndio naulizia chanzo chake .kwani kuwa na mtu muda wote ndio uwe mvivu?inaonekana na wewe ni mvivu
 
kuna mabo kadhaa nionavyo;

kwanza wanawake tunapenda sana maandali, by maandalizi I mean not just physical but also meantally. kwa mfano mpo kazini wote, mwenzio anakupigia simu anakujulia hali na kuongelesha maneno matamu ya mapenzi. hapo tayari mwana mama utaanza kufikiria tendo na ukifika nyumbani utajituma

pia wanawake tunapenda kujua kuwa mwenzio anakufikiria, so kumhonga mwenzako vijizawadi vidogo vidogo pia is a part of foreplay.
also jaribuni kubadilisha mazingira, kwa mfano mnaweza mkaamua lunch time mkapelekana guest/hotel mkapigana cha chap chap, kwa kweli inakuwa inaleta msisimuko wa aina yake

cha kushangaza ivi vyote wanaume huvifanya wakati wa uchumba wakishaoa wanasahau, mi nasema inabidi waendeleze. sio kumpigia sim mwenzio mpaka kuwe na jambo la kifamilia au la dharura.

naomba kuwakilisha
 
utajituma vp kama mwanaume akija anakuparamia tu na kuanza kusonga ugali bila hata ya kukoroga uji!

Wanawake wengi wa TZ wanajua kuwa mwanaume ndio ana kazi ya kumridhisha mwanamke, ndio maana utasikia wanasema "aaah yule ndo mwanaume haswaaa, dozi yake si mchezo, limuhogo la uhakika, unafika kileleni fasta"
 
Nyumba ndogo wanajituma sana kwa issue ya kitandani, then anaweza kukubeba mgogoni kukupeleka bafuni na kukuogesha, wako flexible sana, ingawa ni wizi mtupu!
 
eeh?!......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…