Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,271
- 1,052
Kaka umefuata nini sasa na wewe huku lediz rum?? Ona sasa!! :wink2:
nimeshaondoka lakini NAONA.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka umefuata nini sasa na wewe huku lediz rum?? Ona sasa!! :wink2:
ngoja uolewe na wewe utayaona. bnafsi naona wasichana wengi wanajisahau sana baada ya kuolewa na ndio maana nyumba ndogo haziwezi kuisha
sasa km ni hvyo ni kwanini usivunje ukimya ukazungumza na mwenzi wako.haujui huko ni kumtesa mwanamke unavyomparamia kama kuku!
kabla ya kuoa kuku anakua sio wako.lazima umshikie manati (ujitume mpaka jasho la damu linaweza kutoka) ndo uweze kumuiba.lakini ukishaoa kuku anakua wako, manati ya nini.
...human nature na tabia ya "kipya kinyemi!"
Suala hili halijalishi Mume au mke, sote tunachangia kupunguza mvuto wa mahaba
kwa kuingiza dosari na madoa mbali mbali i.e chuki, dharau, etc ambayo hunyausha mahaba katika maisha yetu ya mapenzi.
Sio wanaume tu hata wanawake walioolewa nao pia wanakuwa wavivu, ndio maana kunakuwa na nyumba ndogo nyingi.
mbu upo?...human nature na tabia ya "kipya kinyemi!"
Suala hili halijalishi Mume au mke, sote tunachangia kupunguza mvuto wa mahaba
kwa kuingiza dosari na madoa mbali mbali i.e chuki, dharau, etc ambayo hunyausha mahaba katika maisha yetu ya mapenzi.
Halafu hivi kwenye ndoa ni mwanaume peke yake ndiye anapaswa kujituma????
ukiona mwanamke ni mvivu basi ujue mwanaume aliyenaye ni mvivu kupindukia.wanawake hucop na mazingira haraka so hata wakiwa wavivu wakakutana na mwanaume aliyechangamka,nao huchangamka haraka.ila km wamechangamka wakakutana na mvivu nao huanza kuwa wavivu.wanaume waliooa wanamapenzi ya kizee
[tatizo ni kwamba wanawake wakishaolewa hujisahau katika manjonjo mimi nimeoa lakini nikikutana na mke wangu nikijiatahidi sana ni bao mbili ila nikikutana na totoz nyingine naenda hata mara nne sababu ya majonjo hapo hamna ubishi kabisa yaani mkeo sanasana bao moja ndio unakuta walio wengi wanaishia hapo.
kwa hiyo mwenye nafasi ya kumhamasisha mwanaume ni mwanamke sio mwingine ukiangalia mavazi ya usiku na manjonjo mengine
Hakiko wazi maana umesema hujaolewa hayo mauzoefu umeyapata wapi?? Ndio swali langu la msingi.
Oyaaa!
Jamani tuoneeni huruma!
Spidi hiyo tutapata wapi, wakati unajua niko na wewe 24/7?...Nikilala upo, nikiamka upo, nikistuka usingizini upo, nikigeukia upande wa pili upo..huh!, sa nguvu zote hizo zitoke wapi besti?
Usilinganishe mambo ya uchumba na ndoa sista!..ni kama mbingu na ardhi!.Hujaona watu wanaenda kwenye appointment na mchumba wakiwa na mashati ya kuazima?..ambapo kwenye ndoa tunakula kilichopo!😛ray:
Kua uyaone!
utajituma vp kama mwanaume akija anakuparamia tu na kuanza kusonga ugali bila hata ya kukoroga uji!
eeh?!......ukiona mwanamke ni mvivu basi ujue mwanaume aliyenaye ni mvivu kupindukia.wanawake hucop na mazingira haraka so hata wakiwa wavivu wakakutana na mwanaume aliyechangamka,nao huchangamka haraka.ila km wamechangamka wakakutana na mvivu nao huanza kuwa wavivu.wanaume waliooa wanamapenzi ya kizee
Teamo mbona hayo maneno yanaeleweka kabisa?tunataka sababu ili hao waliooa wajifunzemkuu wangu piijeeey....
hebu tusaidie kuijibu hii bolded & enlarged part...