Hivi ni kwanini wanaume waliooa ni wavivu katika mapenzi..?

Wanawake wengi wa TZ wanajua kuwa mwanaume ndio ana kazi ya kumridhisha mwanamke, ndio maana utasikia wanasema "aaah yule ndo mwanaume haswaaa, dozi yake si mchezo, limuhogo la uhakika, unafika kileleni fasta"

kifika kileleni fasta its not the point. the longer he stays in the better....
 
FL,

Kwa kuwa watuhumiwa hapa ni kina sisi wanaume wenye ndoa pengine si busara tukaanza kujitetea tu.
Kamilisha tuhuma yako kwetu kwa kuwaomba kina dada/mama wa JF walioolewa waseme hadharani hapa kama wanachokipata hakikidhi haja au la. Tuhuma hizi ni kubwa sana FL,

Unajua kadri tunavyokaa kwenye ndoa inamaanisha na umri unasonga (mme na mke), with age kuna vitu viapungua ama kuondoka.

Hebu tuambieni jamani tujijue maana inawezekana tunajisifu kwa kutoa huduma bora usiku kumbe si lolote.
 
khe khe kheeeeeeeeeeeeee....

Ati hujaolewa halafu umefanya uchunguzi halafu unaprevent, kweli dunia ina mambo!!!! haya bana nawaachia ambao hawajaoa wajifunze kuzuia uvivu wetu

kwani ukifanya uchunguzi wowote ni mpaka uwe mmoja wa wahusika?nimeweka wazi sampo yangu ya uchunguzi.hao wakaka ambao hawajaoa watazuiaje uvivu wa baadae kama hamtowapa sababu?msaada tafadhali ili nilifahamu hili
 
Halafu hivi kwenye ndoa ni mwanaume peke yake ndiye anapaswa kujituma????

Leo mmeguswa nyie basi visingizio kibao, mnavyotusemaga wanawake mara this mara that huku mna nyumba ndogo lukuki kumbe ni uzembe wenu..baeleze bana Firstlady, mwanaume siyo kuchomeka tu!!.. Nami naomba nisikutane na taip hiyo!!
 
Dena Amsi tayari BAN?! Heee
 
Labda kama amewahi kuwa infii . . . coz hatakiwi kusema ana uzoefu

Hilo nalo neno jamaa anadanganya kasafiri kumbe kalala kwa infiii. Sory Mama wa kwanza
 
kifika kileleni fasta its not the point. the longer he stays in the better....

Well, how can he stays longer while u simply do nothing to stimulate him other shouting "aaaaaah aaaaaah"?
 
kwani ukifanya uchunguzi wowote ni mpaka uwe mmoja wa wahusika?nimeweka wazi sampo yangu ya uchunguzi.hao wakaka ambao hawajaoa watazuiaje uvivu wa baadae kama hamtowapa sababu?msaada tafadhali ili nilifahamu hili
Hivi humu JF hakuna walio olewa? Hebu jamani semeni kama anayosema FL ni kweli ama la? Tupate sample na humu!
 
Hilo nalo neno jamaa anadanganya kasafiri kumbe kalala kwa infiii. Sory Mama wa kwanza

Mama wa kwanza leo kaamua tu kuongelea wanaume pengine anaona hii sredi itasaidia wanaume wabadilike.
Anadhani ni mwanamke tu ndo anahitaji maandalizi ili aridhike, hajui ya kwamba hata wanaume ili nao wa-last longer wanahitaji maandalizi
 
FESTILEDI,
kutuambia tuliooa tuna mapenzi ya kizee ni kutuonea

TUNAOMBA UTUTAKE RADHI!.....

personally nakupa ruhusa umuulize LD kama nina mapenzi ya kizee...(anausoma mtiti wangu huyo):wink2::wink2:
 
Well, how can he stays longer while u simply do nothing to stimulate him other shouting "aaaaaah aaaaaah"?

mwanamkw akiandaliwa vizuri you can be guaranteed atajituma sana tu, kwasababu na yeye atakuwa anataka na kufurahia si ndio?
 
Jamani mi labda nichangie experience yangu nina miaka 7 katika hii sekta na kama siumwi au mwenzangu haumwi wakati wa mechi kwa kweli najishusha akili kabisa tutawasiliana baadae, haka ka mchezo ni katamu bwana acha kabisa, sasa na mwenzangu alisha jua ni kazi tu, na huwa hatufanyi kila siku ila at least three times a week basi maisha yanaendelea na sijawahi sikia nyumba ndogo wala kutia shaka, so kama ipo na iwepo mradi tunatimiza ahadi yetu, pia kuwa na mahusiano mazuri especially katika sex life kunapunguza matatizo mengi, hata viugomvi vidogo vidogo vinapungua. Japo mwanzo kidogo ni mgumu lakini nikajiuliza kwa nini tusii enjoy haya maisha na si ni wapenzi so tuka vunja ukimya na Mungu saidia tukaadhimia kufurahia relationship yetu na ndivyo ilivyo hata kama nimechoka utamsikia jamaa anasema kama umechoka basi twende tukaoge sasa we unategemea nini mkishaenda kuoga pamoja.

Mi na sema ni mipango tu hakuna chuo cha kusomea, na si wanawake ndo tunaweza kufanikisha hii mipango ikaenda kama tunavyotaka, na ujue hakuna kitu kizuri kama kujua mwenzako anataka nini au anapendelea nini, ukisha win hilo utaburuza kama zuzu.
 
mwanamkw akiandaliwa vizuri you can be guaranteed atajituma sana tu, kwasababu na yeye atakuwa anataka na kufurahia si ndio?

Hapo ndio mnapolikoroga. Hivi mwanaume hatakiwi kuandaliwa? Au yeye anajiandaa kivyake?
 
kwahiyo ni desturi ukioa lazima utakuja kuwa mzembe kwenye shughuli?sasa raha ya ndoa iko wapi?
Sasa wewe unataka mwanaume ambaye atakuwa anashughulika kama punda, hapo hajaanza kuwaza watoto mara kodi, mara mtoto anaumwa mara mkoloni naye yuko on your neck,mara nyumbani mama mgonjwa unafikiri akirudi perfomance yake unategemea iwe juu labda kama unataka awe anatumia VIAGRA au CIALIS
 
Firstlady wewe c unamajukumu ya kumuudumia presdaa inakuaje useme umefanya uchunguz?mmh hayanihusu ucje mwambia presdaa nikafungiwa pass yangu ya kusafiria.ok wanaume 2nakua wavivu coz wake ze2 wanakua c wabunifu kuna mtu alishawah kusema wanawake wengi hujisahau na kuyaweka maungo yako wazi wakat mwingi ndo 7bu wanaume zao huyaona ya kawaida kiac ht wakiyaona stimu zinakua hakuna.C unajua kilichofchwa ndo kitamu?
 
Kaka Cofee-Mo, habari yako mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…