Jamani mi labda nichangie experience yangu nina miaka 7 katika hii sekta na kama siumwi au mwenzangu haumwi wakati wa mechi kwa kweli najishusha akili kabisa tutawasiliana baadae, haka ka mchezo ni katamu bwana acha kabisa, sasa na mwenzangu alisha jua ni kazi tu, na huwa hatufanyi kila siku ila at least three times a week basi maisha yanaendelea na sijawahi sikia nyumba ndogo wala kutia shaka, so kama ipo na iwepo mradi tunatimiza ahadi yetu, pia kuwa na mahusiano mazuri especially katika sex life kunapunguza matatizo mengi, hata viugomvi vidogo vidogo vinapungua. Japo mwanzo kidogo ni mgumu lakini nikajiuliza kwa nini tusii enjoy haya maisha na si ni wapenzi so tuka vunja ukimya na Mungu saidia tukaadhimia kufurahia relationship yetu na ndivyo ilivyo hata kama nimechoka utamsikia jamaa anasema kama umechoka basi twende tukaoge sasa we unategemea nini mkishaenda kuoga pamoja.
Mi na sema ni mipango tu hakuna chuo cha kusomea, na si wanawake ndo tunaweza kufanikisha hii mipango ikaenda kama tunavyotaka, na ujue hakuna kitu kizuri kama kujua mwenzako anataka nini au anapendelea nini, ukisha win hilo utaburuza kama zuzu.