kwel mfano umekaa nae miaka 5 na unamtoto kwel unakuwa bado huja amua kwel
duh! Inawezekana na je kama ndo mmesha zaa pia nalo hlo bado inakuwa ngumu
Unakuwa na choice zaidi ya 2 kwa hiyo ukikubali tu umejipiga kitanzi
Hulali:smile-big:
sasa cndo aachie moja achague moja au kama vp aende 2uu kote kote
au mnakurubuka au mnawaogopa wakwe zenu maswal yao
Pole mwayaa
duh! Inawezekana na je kama ndo mmesha zaa pia nalo hlo bado inakuwa ngumu
mnaweza mkawa mmezaa lakini mnaona kabisa hamuwezi kuishi pamoja kama mke na mume.