MUREFU
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 1,331
- 352
- Thread starter
- #41
Tatizo mtu anaweza kufika ukweni akajeuzwa mtaji, mara shuka la mjomba, ngombe, trekta,mbuzi sita, baiskeli ya babu, bajaji ya kaka mtu, kitenge, blanketi, pombe, pesa cash.
Nani anataka majukumu hayo,
Bora tuishi hivyohivyo tukutane na hao wazazi wake kwenye misiba tuu,tena siku ya kuzika maana ndo huwa haina muda wa story za kizushi.
kwahyo m2 wangu unataka kuniambia unaogopa kutambulishwa kisa utatangaziwa mahari au shda za wakwe zako kuwa zako sasa utaish vp bas huyo unaish nae haumpend