Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Hivi ni kwa nini wanawake hamjui kukataliwa? Nyie ni nani hasa? Hivi ni kwa nini mmejiaminisha hamuwezi kuwa 'rejected'?
Ni week sasa naanza kuona matukio yasiyo ya kawaida baada ya kumkataa demu mmoja ambaye alisema kwa vyovyote nitakiona cha moto.
Akaongeza kuwa hajawahi kukataliwa na mwanaume yeyote. Hivi mnatutakia nini nyie? Ushauri wenu wadau, roho yangu inaandamwa.
Nadhani Abdallah kichwa kalala usingizi wa pono na haamki ng'o. Hakuna jambo la kutisha kama hili kwa mwanaume ambaye jana tu alikuwa rijali akipeleka moto bila wasiwasi [emoji16]
Lete hiyo roho nikufichie mkuu isije chomwa motoHivi ni kwa nini wanawake hamjui kukataliwa? Nyie ni nani hasa? Hivi ni kwa nini mmejiaminisha hamuwezi kuwa 'rejected'?
Ni week sasa naanza kuona matukio yasiyo ya kawaida baada ya kumkataa demu mmoja ambaye alisema kwa vyovyote nitakiona cha moto.
Akaongeza kuwa hajawahi kukataliwa na mwanaume yeyote. Hivi mnatutakia nini nyie? Ushauri wenu wadau, roho yangu inaandamwa.
Fanya kama huoni usibishaneHivi ni kwa nini wanawake hamjui kukataliwa? Nyie ni nani hasa? Hivi ni kwa nini mmejiaminisha hamuwezi kuwa 'rejected'?
Ni week sasa naanza kuona matukio yasiyo ya kawaida baada ya kumkataa demu mmoja ambaye alisema kwa vyovyote nitakiona cha moto.
Akaongeza kuwa hajawahi kukataliwa na mwanaume yeyote. Hivi mnatutakia nini nyie? Ushauri wenu wadau, roho yangu inaandamwa.
SimpendiUnaanzaje na unawezaje kumkataa sasa? Si tumeumbwa kwa ajili yenu? Kwaio unakataa maagizo ya Aliyetuumba??
Umepata wapi huo ujasiri??
Kwa mfano akakukubalia alafu akaja kukuacha baadae utajisikiaje?Unaanzaje na unawezaje kumkataa sasa? Si tumeumbwa kwa ajili yenu? Kwaio unakataa maagizo ya Aliyetuumba??
Umepata wapi huo ujasiri??
Ila matatizo mengine jmn tunajitakia tuu unakula mzigo alafu unataka usepe lazima upigwe kipapaiii naHivi ni kwa nini wanawake hamjui kukataliwa? Nyie ni nani hasa? Hivi ni kwa nini mmejiaminisha hamuwezi kuwa 'rejected'?