Hivi ni kwanini Wanawake hamjui kukataliwa?

Hivi ni kwa nini wanawake hamjui kukataliwa? Nyie ni nani hasa? Hivi ni kwa nini mmejiaminisha hamuwezi kuwa 'rejected'?

Ni week sasa naanza kuona matukio yasiyo ya kawaida baada ya kumkataa demu mmoja ambaye alisema kwa vyovyote nitakiona cha moto.

Akaongeza kuwa hajawahi kukataliwa na mwanaume yeyote. Hivi mnatutakia nini nyie? Ushauri wenu wadau, roho yangu inaandamwa.

Kwani mkuu alikuuomba nini huyo demu?
 
Kwaiyo alivyogoma kukuacha na sisi sote humu tumegoma amaa? embu elewa bhas unae mzungumzia ni nan alafu umuelezee na sio kuja kulalama humu kama na sie tunahusika..... acha tu hiyo roho iwindwe maana inaonyesha haukumuacha kwa utaratibu mzuri
 
Tumeambiwa tuishi nao kwa akili. Mwanamke anajiona fahara akisema mimi nimemuacha Bwana wangu. Lakini yeye akiachwa ni vita Mura. Nakushauri mrudie kisha mpe matukio ili akuache yeye hapo utakuwa salama. Diamond naye anatumia slogan hiyo. Mwanamke akikuacha mwenyewe raha sana nakuambia.

Sent from my SM-G530W using JamiiForums mobile app
 
Hapo unakuta kuna kidume kingne kinatafuta iyo nafasi☹️
 
Hivi ni kwa nini wanawake hamjui kukataliwa? Nyie ni nani hasa? Hivi ni kwa nini mmejiaminisha hamuwezi kuwa 'rejected'?

Ni week sasa naanza kuona matukio yasiyo ya kawaida baada ya kumkataa demu mmoja ambaye alisema kwa vyovyote nitakiona cha moto.

Akaongeza kuwa hajawahi kukataliwa na mwanaume yeyote. Hivi mnatutakia nini nyie? Ushauri wenu wadau, roho yangu inaandamwa.
Lete hiyo roho nikufichie mkuu isije chomwa moto
 
Hivi ni kwa nini wanawake hamjui kukataliwa? Nyie ni nani hasa? Hivi ni kwa nini mmejiaminisha hamuwezi kuwa 'rejected'?

Ni week sasa naanza kuona matukio yasiyo ya kawaida baada ya kumkataa demu mmoja ambaye alisema kwa vyovyote nitakiona cha moto.

Akaongeza kuwa hajawahi kukataliwa na mwanaume yeyote. Hivi mnatutakia nini nyie? Ushauri wenu wadau, roho yangu inaandamwa.
Fanya kama huoni usibishane
 
Mkuu acha wenge...

Kaa kwa kutulia huku ukiendelea na mishe zako...

Mademu wa hvo ni mikwara tu na stress za mpito..
 
Unaanzaje na unawezaje kumkataa sasa? Si tumeumbwa kwa ajili yenu? Kwaio unakataa maagizo ya Aliyetuumba??
Umepata wapi huo ujasiri??
Kwa mfano akakukubalia alafu akaja kukuacha baadae utajisikiaje?
 
Hivi ni kwa nini wanawake hamjui kukataliwa? Nyie ni nani hasa? Hivi ni kwa nini mmejiaminisha hamuwezi kuwa 'rejected'?

Ni week sasa naanza kuona matukio yasiyo ya kawaida baada ya kumkataa demu mmoja ambaye alisema kwa vyovyote nitakiona cha moto.

Akaongeza kuwa hajawahi kukataliwa na mwanaume yeyote. Hivi mnatutakia nini nyie? Ushauri wenu wadau, roho yangu inaandamwa.
Ila matatizo mengine jmn tunajitakia tuu unakula mzigo alafu unataka usepe lazima upigwe kipapaiii na

Tena usiombe demu awe Mnyamwezi au msukuma maana hawa jamaa hawaonagi shida kukugeuza tahira
 
Jinga nalo hilo, mm ukiniambia tuachane tu nafuta namba lako hapo hapo
 
Back
Top Bottom