Hivi ni kwanini Wanawake hamjui kukataliwa?

Wapo wanawake wa aina iyo wasiokubal kuachwa au kutokua na MTU mm nna aina ya mwanamke wa ivyo sku akiamua kuniungia kfurush cha msg ntaandkiwa msg mpaka ntajuta ww unachotakiwa kufanye mfanye yeye n mpumbavu usbishane nae kwenye chart wala call japo maneno yao yanakera
 
Hivi ni kwa nini wanawake hamjui kukataliwa? Nyie ni nani hasa? Hivi ni kwa nini mmejiaminisha hamuwezi kuwa 'rejected'?

Ni week sasa naanza kuona matukio yasiyo ya kawaida baada ya kumkataa demu mmoja ambaye alisema kwa vyovyote nitakiona cha moto.

Akaongeza kuwa hajawahi kukataliwa na mwanaume yeyote. Hivi mnatutakia nini nyie? Ushauri wenu wadau, roho yangu inaandamwa.
Or you can get her before she gets you...
 
Hivi ni kwa nini wanawake hamjui kukataliwa? Nyie ni nani hasa? Hivi ni kwa nini mmejiaminisha hamuwezi kuwa 'rejected'?

Ni week sasa naanza kuona matukio yasiyo ya kawaida baada ya kumkataa demu mmoja ambaye alisema kwa vyovyote nitakiona cha moto.

Akaongeza kuwa hajawahi kukataliwa na mwanaume yeyote. Hivi mnatutakia nini nyie? Ushauri wenu wadau, roho yangu inaandamwa.
Ulianzaje kutembea na kichaa?
 
Vumbi tu kichwani linakusumbua. Bado moshi haujatulia. Hakuna cha kutafutwa roho hapo, yako tu.

Ukitaka kuamini hapo ulipo jiambie hakuna wa kunifanya lolote. Naweza kuyapeleka maisha nnayotaka mimi.
Ila hakikisha haujamdhulum, maanake hapa umeleta story ya upande mmoja.
 
Ongea na Mzee wako au mama naamini watakusaidia zaidi kama unaisi uyoo mwanamke anafanya vitu vya kishirikina
 
Vumbi tu kichwani linakusumbua. Bado moshi haujatulia. Hakuna cha kutafutwa roho hapo, yako tu.

Ukitaka kuamini hapo ulipo jiambie hakuna wa kunifanya lolote. Naweza kuyapeleka maisha nnayotaka mimi.
Ila hakikisha haujamdhulum, maanake hapa umeleta story ya upande mmoja.
Ukitaka kujinasua fuata huu ushauri
 
Hivi ni kwa nini wanawake hamjui kukataliwa? Nyie ni nani hasa? Hivi ni kwa nini mmejiaminisha hamuwezi kuwa 'rejected'?

Ni week sasa naanza kuona matukio yasiyo ya kawaida baada ya kumkataa demu mmoja ambaye alisema kwa vyovyote nitakiona cha moto.

Akaongeza kuwa hajawahi kukataliwa na mwanaume yeyote. Hivi mnatutakia nini nyie? Ushauri wenu wadau, roho yangu inaandamwa.

Kama umedinyana naye basi nenda kanisani au msikitini kaungame...

Baada ya hapo ishi kwa amani kabisa sababu hakuna tena uhalali wa mashtaka yake...
 
Unaanzaje na unawezaje kumkataa sasa? Si tumeumbwa kwa ajili yenu? Kwaio unakataa maagizo ya Aliyetuumba??
Umepata wapi huo ujasiri??
 
Back
Top Bottom