Hivi ni kwanini wanawake wa kibongo hukosa mvuto mapema?

Aliye kuroga amesha kufa kabisa,

Hizi akili zi za wale wamama wa uswazi wanaoshauri watoto wao wakitembeze apate hela ya mchezo
Sema kweli? ๐Ÿ˜น

Sasa akibane bane cha nini kitaliwa na nyenyere..!!

Umepewa mbususu acha ipige kazi, kaburini hakuna tuzo ya kei iliyobana..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Utachapiwa , umechapiwa ,ulishachapiwa , unachapiwa , itakuja kuchapwa tu, kuna wajanja zaidi yako , ma gentleman zaidi yako , wenye pesa zaidi yako , ukisha jua hilii hatua kuwa pusss Whistler๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Asipokua makini na yeye atachapwa vilevile..!! ๐Ÿ˜น
 
Hakuna cha wanawake wengi wa kibongo wanachokwa wala nini niniโ€ฆ

Mwanamke wa jamii yoyote anaweza kuchokwa ukizingatia ni kutokana na mzani wa machafu yake kuzidi mema.

Hakuna mwanaume anayeweza kuvumilia upumbavu๐Ÿ˜ƒ.
 
Sema kweli? ๐Ÿ˜น

Sasa akibane bane cha nini kitaliwa na nyenyere..!!

Umepewa mbususu acha ipige kazi, kaburini hakuna tuzo ya kei iliyobana..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Am walahi wewe dada, mbingu na ardhi zitaandamana kwa mashtaka yako siku ya kiama.

Na kuhakikisha mwisho mbaya katika maisha yako, maana hatua uliyofikia ni mbaya sana
 
Jisemee wewe tu,wapo wengine vibonge huwapa mzuka wa nguvu,nikiwemo mimi mwenyewe
 
Ndo maana watu Wanachepuka, maana mtu mwishowe anachoka.
Hao watu wakichepuka hua wanachepuka na wanawake wa wapi? Si wanaenda kuchepuka na hao hao wanawake wa kibongo unao wasema wewe hapa?

Hata huyo Mwanamke wako wewe ukimuona hana mvuto,basi wapo watakao muona ana mvuto huko nje na watamtongozwa,

Kijana jifundishe kuijua saikolojia ya binadamu,
Binadamu hutamani kitu ambacho hana ila akisha kipata hukiona ni cha kawaida tu,na sio kwa wanawake tu,bali hata Magari,majumba au hela,ukisha zipata unaona ni kitu cha kawaida tu,

Trump ni tajiri ila akatamani kua kiongozi na akagombea urais wa US,ndio maana nakwambia kua binadamu hutamani kitu ambacho hana,

Ukienda Hotelini ukaagiza chakula kisha meza ya pili ya jirani yako,nae akiletewa chakula alicho agiza,utaona kama yeye kaagiza chakula kizuri zaidi yako,huyo ndio binadamu,hata uwe na Mwanamke mzuri wa aina gani,baada ya muda utamuona ni wa kawaida tu,

Hapo issue sio mwanamke wa kibongo bali ndio binadamu alivyo,

Hata wanawake nao hua wanachepuka pia,so hapo utasema wanaume pia wanaume wa kibongo nao hawana mvuto?
 
Utachapiwa , umechapiwa ,ulishachapiwa , unachapiwa , itakuja kuchapwa tu, kuna wajanja zaidi yako , ma gentleman zaidi yako , wenye pesa zaidi yako , ukisha jua hilii hatua kuwa pusss Whistler๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Je pussy whistler ni mpuliza pussy?
Je, unamaanisha nini hii bwashee?

Anyways, naandika kuleta maadili na kujaribu kuuliza kizazi hiki cha nyoka.

Ila ukweli ni kwamba tukiendekeza haya unayo ya sema tutendelea kuwa laumu wa kina Mr Kweka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ