kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 18,577
- 23,171
anapigwa kamba masaa matatu baadae anaomba kilo ya noti
Mi sijaelewa hapa hivyo ukichepuka ndo hivi unavyovilalamikia hapa unaenda kupewa huko au ndo hizo tamaa tu ambazo baadhi yenu mnazo?Sio kwa nia mbaya,
Yaani mwanamke wa kibongo(average one) anacho offer mara nyingi ni ngono tu.. Kinacho weka mahusiano sio ngonopekee bali ni mutual love and responsibilities.
Si semi kubeza watu ama kuanzisha makundi ya ku bully watu,
Ila naongelea uhalisia uliopo nje na tumeweza ku experience tulio wengi.
Ni kwanini wanawake wa kibongo wanakinai mapema, yaani sijui niseme je ili mnielewe.
Unaweza kuleta pisi ndani ukaioa ila ukashangaa umeshaichoka na kutaka ukachaoe nyingine
Hawana kabisa craetivtiy kusema kwamba leo nimfanyie surprise baba fulani, kila siku yeye ndo umfanyie surprise.
Ndo maana watu Wanachepuka kila kukicha. Mimi naona utamaduni wa kiafrica umefanya mwanamke awe gugu maji, yaani awe mtu wa kupeleka na upepo tu na asiweze kuwa na maamuzi yake katika ndoa.. Wanawake wapo wapo tu.. Sisemi kuwabeza wala kuwaongelea vibaya.
Ni mtazamo wangu tu ndugu zangu, au mnasemaje?
Wanawake wanachokwa mapema kwasababu wanawake wengi hawana vya kwao, wanataka hata kama ana kazi awe yeye tu ndo wa kupewa kila kitu, na bado kitandani ajilaze kama gogo.
Ndo maana watu Wanachepuka, maana mtu mwishowe anachoka.
...wewe unahisigi kuwa attacked siku zote ndio maana uko kny defensive mode siku zote...niku attack wewe ili iweje???umeshindwa kujibu WANAWAKE WA WAPI/NCHI gani unafanya comparison na wanawake wa kibongo....hii ndilo swali la msingi and so far unrlemba unalemba kuonyesha machuki yako dhidi ya wanawake tu!Na wewe unataka kuwa kichwa ngumu kama Jadda? Ama ndo umekuwa traumatized na bandiko langu
. Wanaume hatuoeoesi macho tunasema ukweli, kawa tafuteni hao hao goi goi ukawa attack na ujinga wenu
Sko traumatized wala nini niko hapa kuwapa vidonge vyenu muache ujinga wa kutumia ndoa kama sehemu yakutaka kutumia wanaume...wewe unahisigi kuwa attacked siku zote ndio maana uko kny defensive mode siku zote...niku attack wewe ili iweje???umeshindwa kujibu WANAWAKE WA WAPI/NCHI gani unafanya comparison na wanawake wa kibongo....hii ndilo swali la msingi and so far unrlemba unalemba kuonyesha machuki yako dhidi ya wanawake tu!
Eti wanaume hampepesi macho?! Wangapi wenu?? Wewe na nani? Hujioni ni wewe peke yako ndio kila siku wanawake wa kibongo this,that, ? Proof kwamba uko traumatised na wanawake...
Wake up! You can be relevant in JF, you can be heard, feeling visible without udhalilishaji wako wa wanawake kila siku!!!!!
Yaani nimekuuliza badala ujibu na wewe unaniuliza. Dooh.Ni kwamba nyie mnatumia ndoa kama sehemu ya kupata mnachodhani mnataka
Endelea 'kuwabamiza' wanawake online, unapata relief labda....bye I'm outSko traumatized wala nini niko hapa kuwapa vidonge vyenu muache ujinga wa kutumia ndoa kama sehemu yakutaka kutumia wanaume
Acheni huo ujinga, kama unadhani unaweza kuingia kwenye ndoa na hii akili sahau
Maana wanaume wako so keen na hawatanii kabisa, ni kuwa chapa risasi tu hakuna huruma.
Yaani niiulishe, nikuvishe nikujengee alafu mwisho wa siku uanze drama?
Ni risasi tu, tena bila huruma kabisa